tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,765
- 29,207
mbatia ni fisadi. Alipata mgao wa escrow kupitia stanbic bank
punguani wahed wewe!
mbatia ni fisadi. Alipata mgao wa escrow kupitia stanbic bank
Mbatia ,hana biashara hata ya Karanga fedha anatoa wapi ?
Chenge anatoa wapi fedha na hana hata biashara ya ukwaju?
Mbatia ,hana biashara hata ya Karanga fedha anatoa wapi ?
mwenzake naibu waziri pindi chana alitoa 15,000/= kwa ujenzi wa shule iliyoezuliwa na mvua.Mbatia kwenye masuala ya Elimu hana mchezo tena sijawahi kusikia akitoa chini ya millioni 100 si mara ya kwanza kusikia anachangia maendeleo anastahili!
Duh! sasa hiyo ela alitoa kama mfano wa noti zinazotakiwa au??mwenzake naibu waziri pindi chana alitoa 15,000/= kwa ujenzi wa shule iliyoezuliwa na mvua.
chenge. Mbatia wote ESCROW
mwenzake naibu waziri pindi chana alitoa 15,000/= kwa ujenzi wa shule iliyoezuliwa na mvua.
mwenzake naibu waziri pindi chana alitoa 15,000/= kwa ujenzi wa shule iliyoezuliwa na mvua.
Hili la waziri kutoa 15000 sioni kama ni kipimo kuwa hana pesa. Inawezekana sehemu iliyoharibika haihitaji gharama kubwa.
punguani wahed wewe!
Mbona kasema, anapewa msada na marafiki, rudia kusoma vizuri.