ANDREAS SON
Senior Member
- Sep 10, 2014
- 108
- 46
Duh! sasa hiyo ela alitoa kama mfano wa noti zinazotakiwa au??
sababu hata misumari hainunui kutoa ni moyo.
Huyu mama na yeye bwana siangetoa ushauri tu ilikuwa inatosha mambo unaweza aibu filihunzombe anatoa hela mabati mifuko ya sumenti na anashiliki maendeleo halafu we unatoa 15 huyu ndo asumta mshana kweli.