Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Kama uamini ni mchongo jamaa akajaa kuminanane ya flora mbasha na aibuu atakapotokea


Fungua mpekuzi.blogspot..com
Jamaa akiomba msamaha kwa Shemeji huku bibie akimrecord kabisa Loh shame for mbasha familly
 
Hii zilipendwa, tuletee kitu kipya kama unayo ya Gwajima kumtafuna mbakwaji aliyehamia home kwake...
 
Kama uamini ni mchongo jamaa akajaa kuminanane ya flora mbasha na aibuu atakapotokea


Fungua mpekuzi.blogspot..com
Jamaa akiomba msamaha kwa Shemeji huku bibie akimrecord kabisa Loh shame for mbasha familly

Hizi used mkuu leta mpya
 
cinema.jpg

Mbasha akiwa chini ya ulinzi wa walinzi wa Gwajima

Moja kati ya matukio ya kushangaza ni tukio la mume wa mwimbaji mashuhuli hapa nchini kwenye nyimbo za Injili Flora Mbasha kumbaka shemeji yake ambae inadaiwa ana umri wa miaka 17 sasa story kamili iko hivii

HII NDO PART THREE YA SKENDO YA ALIYEKUWA
MUME WA FLORA MBASHA

PICHANI: Mr Emmanuel MBASHA AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI
SWALI LA KUJIULIZA...!


i) Ni Sahihi Kumkamata Mbasha namna hii..??? Tena kwa kutumia Wanajeshi...???
ii) Hao WanajeshI waliotumika kumkamata sare walizovaa zinatumika Tanzania..???

Moses Kulola mchungaji wa kwanza wa Kilokole Tanzania,
Iko hivi wakuu,

1. Kisa cha Mbasha “kubaka” (Sitatoa kila detail ili kulinda identinty yangu) Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo… pale kanisani kwake wanavitengo mbalimbali ambavyo wenyewe wanaviita “Ministries” na katika Ministry hizo zipo mbili ambazo ni muhimu zaidi i) Media Ministry ii) Security Ministry ( hii huwa wanaiita “Mashujaa” wa Daudi)

MEDIA MINISTRY

Kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na kwenye vyombo vya habari kueneza “Propaganda”
Ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.

SECURITY MINISTRY

Kazi yao ni kumlinda Gwajima ! Kama umewahi kufika pale kanisani kwao utakuwa umewahi kuwaona hawa wanavaa Suti nyeusi (kama secret service wa Marekani) wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama “ USALAMA WA TAIFA “ wa Kanisa la Gwajima
Turudi sasa kwenye Topic yetu….

Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr Mbasha, ana mahusiano ya kimapenzi na shemeji yake ( kwa muda mrefu kidogo ) na habari hii ikamfikia mpaka Florah kipindihiki Florah bado anakaa Hotelini !!! Suala hili Florah aliwaeleza watu wachache sana wa karibuna likabakia kuwa siri…. Lakini sisi wengine tulikuwa tunalifahamu muda mrefu tuu !

Kuna watu wakamshauri Florah amuhoji Mme wake na Florah akauchukua huo ushauri akaenda kumhoji Mr Mbasha unaambiwa jamaa aling’aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana hana mahusiano na Shemejiye !
Basi katia majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona hata yeye anafahamu kuwa Florah ana mahusiano na Gwa**** !? Lakini hasemi chochote ???

Weeeeeh ! ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikao Fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo baasi nakwambia kilaa mtu pale akashikwa na Bumbuwazi !!!
Unaambiwa Florah hakusema chochote akaanza kulia wee ! na akainuka na akaondoka !!! Na baada ya hapo hata simu za Mr Mbasha akawa hapokei tena !

Inasemekana Taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita jamaa ( Mr Mbasha ) ofisini jamaa akakataa kwenda ! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa ( Mr Mbasha ) kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa Mahusiano ya huyo Mchungaji na Mkewe Florah !!! nahisi hapo Mr Mbasha ndipo alipojiroga..!!!

KESI YA KUBAKA

Baada ya mtafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa katikati alikuwa hakai nyumbani kwa Florah…! Lakini inavyoonekana Mchungaji alitishwa saana na mkwara wa jamaa ( Mbasha ) kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya “Operation tokomeza..!!!”
Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa Florah akijua wazi kabisaa dada yake (Flora) hayupo ! Na kama ujuavyo ya “Muonja asali haonji mara Moja !!!”
Jamaa kuona Mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie Enzi !, Sitaki kumalizia uhondo woote lakini... TUJIULIZE MASWALI HAYA…!!!

i) HIVI KUBAKA NDO INAKUWA HIVI ???

Ni Ijumaa mko Nyumbani peke yenu mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori za hapa na pale “Mizuka” inapanda ghafla mnaamua kuibanjua Amri ya Sita ! Kesho yake Jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapolee tuu, mnavunga huku mkiitana shemeji Alafu kesho yake Jumapili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili, kisha Mnafika mahali Fulani Ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua Amri ya Sita ! Mnatoka hapo mnaenda kanisani huku mkiwa na tabasamu kabisaa, ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu ! mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnaanza kubanjuka kama kawaida !
Halafu eti amebakwa…!????

SWALI LA PILI LA KUJIULIZA !!!

Kwa nini huyu binti baada ya tukio kutokea akawapigia simu bodyguards wa Gwajima ??? ambao walienda kumchukua na kurudi nae nyumbani kwa Gwajima !!!
Halafu eti hawa bodyguards ndio wanaanza kuwapa taarifa ndugu za Florah !!!
Kwa nini apige simu kule ??? Kwa nini hakuwapigia simu ndugu zake kwanza???

Hisani ya Lemutu'z Blog
 
Karibu JF!

Hii ni zilipendwa na chanzo chake ni hapahapa JF kama wiki moja iliyopita!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom