Mbaroni kwa kumuua mpenzi wa Mama yake

Mbaroni kwa kumuua mpenzi wa Mama yake

Maumivu ya Mtoto wa kiume kwa Mama mdangaji ni zaidi ya unavyofikiri, nawaonea huruma wadangaji wenye watoto wa kiume siku akigundua kua huyu Mama anadanga na Baba yangu yupo Vita inaanzia hapo utaburuzwa na mtoto wako uliemzaa maana anaona unamuaibisha

404: Page Not Found
Alitumia kitu cha Arusha sio bure!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa mtoto alitaka mzigo maza akachomoa, sasa hapo akapata chance ya kulipiza.
Kwa matukio ya kikatili Kanda ya ziwa wanaongoza ila kwa matukio ya kipumbavu Arusha wako no.1.
Tatizo la afya ya akili naona linazidi kuchukua sura mpya kila uchwao.
 
Anapiga marungu yote hayo, alikusudia!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hii issue ni yakisheria mkuu na sio kihisia,uhalisia hiyo ni manslaughter,hizo kesi zipo nyingi tu na hiyo siyo kesi ya kwanza,issue ni kwamba hayo mauaji hakua ameyapanga bali yametokea tu,ndio sheria ilivyo,hiyo kesi atafungwa kwa muda mfupi tu kisha ataachiwa,ukizingatia kijana alimtaka Mama yake atoke nje na alivyokataa ndio zogo likaanza,inawezekana pia marehemu alimtolea maneno ya kifedhuli kijana.
 
Kweli bangi ya arusha ndio kali zaidi. Hivi unamuoneaje wivu mama yako kua na mwanaume mwingine ilhali ashaachana na baba yako. Kwani mama naye hataki kula raha. Akanyee debe sasa.
 
Wacha akamalizie maisha yake huko jela. Huu ujinga unatokana na nini hasa, haja za mwili wake utazitimiza wewe? We huna mwanamke anayekutoa nyege, kama unaye mamako anamtoa nani? Pokea malipo ya ya ujinga wako sasa ushahidi huo uko wazi hadi mama yako umemtoa nje akiwa uchi.
 
Hii issue ni yakisheria mkuu na sio kihisia,uhalisia hiyo ni manslaughter,hizo kesi zipo nyingi tu na hiyo siyo kesi ya kwanza,issue ni kwamba hayo mauaji hakua ameyapanga bali yametokea tu,ndio sheria ilivyo,hiyo kesi atafungwa kwa muda mfupi tu kisha ataachiwa,ukizingatia kijana alimtaka Mama yake atoke nje na alivyokataa ndio zogo likaanza,inawezekana pia marehemu alimtolea maneno ya kifedhuli kijana.
It doesn't work that way. Kufunga safari hadi kufika kwenye hiyo nyumba akiwa na silaha ni kukusudia. Mauaji ya kutokukusudia yanaeleseka pale mtuhumiwa anapokutana na tukio halafu akose sekunde za kutafakari reaction. Usipotoshe watu. Hiyo ni murder case. Pre meditation.
 
Umepata wapi huo ushahidi kua suspect alienda na silaha? umejuaje kua alienda na silaha au hiyo silaha aliikuta huko huko?
 
yani nimejikuta nimewaza mambo mengi sana kwa wakati mmoja,,,mnisamehe tu kama nina mawazo machafu..kwa wivu huo hadi kufikia kuua nimehisi kama huyo mtoto alikua na affair na mama yake😌😎
Hapana kaka ni dharau kugongewa mama na watoto wa Rika lako au uliowazidi umri na mtaani habari wakazipata
 
Huyu mama na mtoto wake kuna kasoro.

Hivi mtoto anawezaje kuingilia mahusiano yangu?

Sema tu sinaga hayo mambo.
Jaribu kutembea na mtoto Rika sawa na na mwanao na mtaani zisambae uone ataingilia au hataingilia?
 
yani nimejikuta nimewaza mambo mengi sana kwa wakati mmoja,,,mnisamehe tu kama nina mawazo machafu..kwa wivu huo hadi kufikia kuua nimehisi kama huyo mtoto alikua na affair na mama yake😌😎
Ni kawaida kwa mtoto wa kiume kua na wivu na mama yake. Wala chalii ya R hakua na affair na maza ake.

Na usikute huyo marehem ni rika sawa na mwanae au mdogo kwa mwanae.
Kwa watu wenye watoto watu wazima kuachana halafu akaolewa/kuoa kwingine wakati mwenza yuko hai huwa inaleta ukakasi kidogo.

Kuna umri ukifika watu huvumiliana hivyohivyo wamalize uzee wao.
 
Back
Top Bottom