FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Mimi sikionoi cha kusikitikia, mama kakosa maadili, huyo mwanamme kakosa maadili.Inasikitisha sana...
Mama hakuhisi maumivu anayompa mwanawe kwa kitendo chake cha kukosa maadili.
Mimi sikionoi cha kusikitikia, mama kakosa maadili, huyo mwanamme kakosa maadili.Inasikitisha sana...
Na maza ndo anahongaRoho inauma pale unapogundua huyo baba ako mnaendana umri,halafu hana hela....
Halafu ukute jamaa anatamba maskaniKiasili sisi watoto wa kiume huwa hatupendi kuwaona mama zetu wakiwa na wanaume wengine zaidi ya Baba zetu, kibaya zaidi hawa mama zetu knachotuuzi zaidi kumwona mama yako akitembea na kijana wa umri wako inauma kweli kweli, wamama mnapoamua kufanya ujinga wenu fanyieni pengine mikoa mingine ujinga wenu.
Very true...hata angekuwa me ningekukata mbupuHalafu ukute jamaa anatamba maskani
Wanangu eeh nna lishangazi hilo napasua kila siku halafu linanililia kinomaa, washkaji wanauliza lipi hilo - aah si bi mkubwa wake Rasuli bwana...
aah inauma hio usithubutu kukutwa unaua hivi hivi
Yani tujaribu kuvaa viatu vya huyo kijana kuua sio rahisi ila yawezekana ni hasira za mda mrefuVery true...hata angekuwa me ningekukata mbupu
🤣🤣Roho inauma pale unapogundua huyo baba ako mnaendana umri,halafu hana hela....
Heheh. LaanaSasa apo Mamy katoka uchi si balaaa hilo mzee
Uku mtaan kuna inshu ilitokea baba wa familia alifarik akaacha watoto watatu wa kiume1 na wakike 2 yule mamy kwa ugumu wa maisha akaanza kuuza gongo...
Mtoto wa kiume akanza gubu mama alikua anatoka na askAr polisi mpk ana lala apo home siku moja kaenda kimkurupusha mama kalala na jamaa mama Katoka uchi wa mnyama dogo akawa chiz mpk kafarik miaka ka miaka ka miwil ili yopita
NB::mAma kama unachepuka na Una watoto wakubwa uyo hawara usimpeleke nyumbani kamwee akupangie ama kutaneni juju kwa juju tu
Huwezi kuelewa kwanini ameua kama ww ni wakikeyani nimejikuta nimewaza mambo mengi sana kwa wakati mmoja,,,mnisamehe tu kama nina mawazo machafu..kwa wivu huo hadi kufikia kuua nimehisi kama huyo mtoto alikua na affair na mama yake😌😎