ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Duh!
Umeshamzika bibi yako wa Ngende?Itakuwa mtoto alitaka mzigo maza akachomoa, sasa hapo akapata chance ya kulipiza.
Kwa matukio ya kikatili Kanda ya ziwa wanaongoza ila kwa matukio ya kipumbavu Arusha wako no.1.
Sio Mimi mtoto wake amechoka tabia ya Mama yake kudanga, unadanga na mwanaume sawa na mtoto wako wa kumzaa ambae ni mdogo kuliko Mwanao unategemea nini ?Kama walishaachana na baba yako unakuwaje na chuki hadi kufikia kuua?
Wameniwakilisha mkuuUmeshamzika bibi yako wa Ngende?
Ndio mtoto wa hao wamama akikuta na mamake anakuua unakufa kama huyo Mdafanga..Sasa akafie jela ili maza aendelee kujiachia kwa raha. Vitu vingine ni kuaachana navyo tu. Unakaa mbali na mama.
Hata watoto wa kiume hutembea na wanawake wakubwa size ya bibi zao lakini mama zao hawawadhuru zaidi ya kuongea tu.
Najua sio wewe lakini ni jambo ambalo inaonyesha hata wewe unaweza ukalifanya, ni vile tu halijakutokea. Ndo maana nikwakwambia hadi kufikia hatua ya kuua ni wivu wa kipumbavu.Sio Mimi mtoto wake amechoka tabia ya Mama yake kudanga unadanga na mtoto wako wa kumzaa ambae ni mdogo kuliko Mwanao unategemea nini ?
404: Page Not Found
Human nature!Sasa akafie jela ili maza aendelee kujiachia kwa raha. Vitu vingine ni kuaachana navyo tu. Unakaa mbali na mama.
Hata watoto wa kiume hutembea na wanawake wakubwa size ya bibi zao lakini mama zao hawawadhuru zaidi ya kuongea tu.
Muulize mtoto wako wa kiume atafurahia wewe ukibadirisha wanaume km nguo ? Alafu mpimie jibu lake ndio ujue ni wivu au jivu au anataka kulala na wewe jibu utalipata hapoNi jambo la kusononesha ndio lakini hadi ufikie suala la kuua inafikirisha. Wivu gani huo wa kipumbavu...
OkayHuman nature!
We nae hata hatuelewani.Muulize mtoto wako wa kiume atafurahia wewe ukibadirisha wanaume km nguo ? Alafu mpimie jibu lake ndio ujue ni wivu au jivu au anataka kulala na wewe jibu utalipata hapo
404: Page Not Found
Mama yangu sio mdangaji kastaafu sasa hivi anakula pension hana muda huo wa kudanga na hajawahi kudanga, nitake radhi hapo kwanzalakini ni jambo ambalo inaonyesha hata wewe unaweza ukalifanya,
Mkuu,huyo mtoto amelaaniwa na nani? simuungi mkono kwa hayo mauaji ila huyo Mama pia alikua anafanya zinaa coz huyo mwanaume hakua kamuoa,so hata huyo Mama amelaaniwa pia kwa kushiriki zinaa,Umelaaniwa wewe kijana kuingilia maisha ya ndan ya mama yako.sasa unaenda kifungo cha maisha utamuona mama yako ukiwa kwenye nondo.kuzaliwa tu ilikuwa zawadi kwako
Aisee it was not personal. Nimeongea in general. Mbona una makasiriko?Mama yangu sio mdangaji kastaafu sasa hivi anakula pension hana muda huo wa kudanga na hajawahi kudanga, nitake radhi hapo kwanza
404: Page Not Found
Hapo sawa kumbe umeelewa ni nature wanaume wapo hivyo nawaonea hurumaWe nae hata hatuelewani.
Nimeshakubali kwamba ni jambo baya na linasononesha. Hilo lipo wazi
Sio kwa watoto wa kiume pekee, hata kwa watoto wa kike hawafurahishwiHapo sawa kumbe umeelewa ni nature wanaume wapo hivyo nawaonea huruma
404: Page Not Found
Nimewaza tu uliposema kijana wa umri wake kuwa, huenda hata huko mtaani kwenye story anamwambia mimi ni baba yako. Kwa hiyo mtoto maudhi yakamzidia alafu ukute pia anatumia bangi hapo maamuzi ya ajabu yanaweza kutokea.Kiasili sisi watoto wa kiume huwa hatupendi kuwaona mama zetu wakiwa na wanaume wengine zaidi ya Baba zetu, kibaya zaidi hawa mama zetu knachotuuzi zaidi kumwona mama yako akitembea na kijana wa umri wako inauma kweli kweli, wamama mnapoamua kufanya ujinga wenu fanyieni pengine mikoa mingine ujinga wenu.
Inawezekana pia waliachana kisa hilo danga lililotangulizwa Jahanamu,lilikua linatoka na mke wa mtu,mshua akaona isiwe tabu akatoa talaka.Sidhani kama hii issue ina suala la udangaji. Kama walishaachana na baba yako unakuwaje na chuki hadi kufikia kuua?
Ni jambo la kusononesha ndio lakini hadi ufikie suala la kuua inafikirisha. Wivu gani huo wa kipumbavu...ukute alikuwa analala na mama yake.
Hakutegemea kama mwanae ataamua kuingia hadi ndaniHuyo maza nae, si wangefunga mlango unakutwaje uchi? Hakusikia wakati mlango unagongwa avae nguo?