Mbaroni kwa kumuua mpenzi wa Mama yake

Mbaroni kwa kumuua mpenzi wa Mama yake

Aisee it was not personal. Nimeongea in general. Mbona una makasiriko?
Sio makasiriko mkuu najaribu kukuweka sawa kua issue hapo ni kijana kuzichoka tabia za Mama yake akaanza kudeal na wale anaolala nao sasa huyu alieanza nae ndio imetokea hivyo kamtanguliza mawinguni

Moral of the story:
Km una mtoto wa kiume baki na Baba yake acha kudanga siku akigundua kua unadanga utapigwa wewe na danga lako kuuwawa

404: Page Not Found
 
Kiasili sisi watoto wa kiume huwa hatupendi kuwaona mama zetu wakiwa na wanaume wengine zaidi ya Baba zetu, kibaya zaidi hawa mama zetu knachotuuzi zaidi kumwona mama yako akitembea na kijana wa umri wako inauma kweli kweli, wamama mnapoamua kufanya ujinga wenu fanyieni pengine mikoa mingine ujinga wenu.
Unakuwa na uhakika gani kama huyo unayesema ni mwanaume mwingine ndiye baba yako mzazi huyo unayemwiita baba mi mlezi tuu.
 
Sio makasiriko mkuu najaribu kukuweka sawa kua issue hapo ni kijana kuzichoka tabia za Mama yake akaanza kudeal na wale anaolala nao sasa huyu alieanza nae ndio imetokea hivyo kamtanguliza mawinguni

Moral of the story:
Km una mtoto wa kiume baki na Baba yake acha kudanga siku akigundua kua unadanga utapigwa wewe na danga lako kuuwawa

404: Page Not Found
Sawa
 
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Kijana anayefahamika kwa jina la Rasuli Abdalah kwa tuhuma za kumuua Mwanaume anayefahamika kwa jina la Aniskari Maembe baaada ya kumkuta akiwa amelala na Mama yake mzazi.

Noris Kivuyo ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Makao mapya ambako tukio limetokea amesema Mtoto huyo alimkuta Mama nyumbani kwa Mwanaume huyo na kumtaka atoke nje na alipogoma alimtoa kwa hasira akiwa uchi na baadaye akanza kumshambulia Mwanaume kwa marungu hadi kufariki.

“Nilipouliza nikaambiwa ni Mtoto amekuja kumtoa Mama yake kwenye chumba ndani kwa Mwanaume, Mama alivyogoma alimtoa akiwa uchi na Mama alipiga kelele sana, nitoe ushauri ukiona Baba yako anatoka na taulo kwenye chumba cha Mama yako huyo ni Baba yako”

Mwanamke huyo alishaachana na Mumewe na akawa kwenye mahusiano na Mwanaume aliyeuawa, bado hajajulikana chanzo cha Mtoto kuchukua maamuzi hayo.
Mibangi ya Arusha hiyo
 
"bado hajajulikana chanzo cha Mtoto kuchukua maamuzi hayo"

Ajabu sana.... Hawajajua chanzo ambacho wamekisema hapo juu.
 
Back
Top Bottom