Mbarikiwe wana mmu

Mbarikiwe wana mmu

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Leo tena nimeguswa kuwaletea upako wana MMU.

Ni mapito tu unapitishwa tu, jua kuna siku yatapita. Kuna watu mioyo yetu imekuwa mizito kutokana na matatizo tunayoyapitia lakini jua kuna siku yataisha nawe utakuwa huru.

Anasema adui akija kwa njia moja jua atatawanyika kwa njia saba , unaweza ukashangaa how njia saba but kwa Mungu inawezekana.
Christina Shusho - Mapito [official video].flv - YouTube
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom