Yaani we hopeless kabisa unataka kujifananisha na mbape? (Jokes)Habari wakuu
Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.
Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
🤣🤣🤣 akinitunuku tope hatojuta huo utamu atakaoupata. Oya kama vipi tumpige mande😅Huyu kuna nae makini bby maana anapenda tope balaaa ebu kaa nae mbali kabisa.
Wee endelea kunivutia mie picha wakati unapata utamu wa de libolo
Acheni tamaa mtaliwa mtungo
Women value strength in men they desire. They already have a pussy they don’t want to deal with another one.Habari wakuu
Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.
Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Mkuu unajichelewesha, pale Simba Queens kuna watoto wazuri wanacheza mpira tafuta picha ya Fetty Densa au hata ya Usher Koumugisha chambuzi la kimataifa au hata ya Khadija Shaw yule fungaji la timu ya wanawake ya Man cityHabari wakuu
Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.
Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
huyu mtoto anamajaribu jaman
😀😀Wewe wapo wenye good morphology bana sio iyo. Wao waseme wanataka Nini. Mana huyu akija dar ama bongo atakuwa Kama Ile Chris brown mademu walikuwa wanatoa $1000 ili wakutane naye tu. Sasa huyu naye akija bongo mademu na mchepuko yetu itaumwa ama itapata matatizo hapo wapate hata hela ya kumuona mbape ujue
Relax basi 😅😅😅Lazima nione wivu ungejua ninavyokuhusudu 🤣🤣🤣
Mbappe akiss kinyamkela kama wwWe mwangalie alivyo aww [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Huyu akijaribu kunikiss kabla hajafikia lips nishazimia kitambo
Tafuta pesa acha makasiriko ya kiboyaMbappe akiss kinyamkela kama ww
🤣🤣🤣🤣 Ogopa sana ukiona mwanamke anabetiHabari wakuu
Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.
Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Pesa zipo kingineTafuta pesa acha makasiriko ya kiboya
Sa mbona una hasira tatizo nini? Nyege?Pesa zipo kingine
Wahi darasan hukoTafuta pesa acha makasiriko ya kiboya
Tatzo unasula kama umetolewa kafara zen unawaza kukisiwa na mbappeSa mbona una hasira tatizo nini? Nyege?
Watu wanafurahi hapa umekuja umekunja ndita asubuhi yote hii. Nyege mbaya...Uwe na siku njema mkuu.Wahi darasan huko
Sawa mkuuTatzo unasula kama umetolewa kafara zen unawaza kukisiwa na mbappe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ningekua skujui ungenipa tabu, sura huna shape huna unamtisha nanWatu wanafurahi hapa umekuja umekunja ndita asubuhi yote hii. Nyege mbaya...Uwe na siku njema mkuu.