Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Huyo Mbappe anajua kwamba huyo demu wako yupo duniani?
 

Attachments

  • 1671551648090.png
    1671551648090.png
    20.1 KB · Views: 8
Back
Top Bottom