Mbappe kanitekea demu wangu

Na mimi huwa sio msahaulifu nitakomaa na wewe mpaka ukubali yaishe.
Sijui “babe mbona leo umerudi usiku saa tisa na simu hupokei! jibu ni moja tu “nilikesha uwanjani kwa Mkapa nilikua najifunza chenga kama za Mbappe”
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uko na kisasi kizito sana we mtu kha
 
Hahaha...naona unalia wivu dogo kwa ishu ya mtu aliyepo maili nyingi sana kutoka Tanzania.Relax,wewe upo na ndiye uliye na umiliki wa huyo mdada kwa sasa.Mbappe atasubiri sana.Ishi
 
Sikuwa namjua jamani zaidi ya kumsikia jina..huyu anakukojolesha walai kabla hajakugusa
Kila mwanamke anampenda mbappe na mnajua Hilo sasa kwanini hampendi maboyfriend wenu wawe na wanawake wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…