Bunbun
Senior Member
- Dec 17, 2022
- 174
- 207
Pole nimekutafutia mchumba mwingine.Habari wakuu
Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.
Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Yeye anampenda yule jamaa wa akiachwa kama ameacha na akikuacha kama kakuacha