Mbappe kanitekea demu wangu

Wewee ni next level😂😂😂😂direct from Kanda ya ziwaaa... I bow to youuu😂😂😂
 
Nawewe anza kumsifia yule manzi ambaye anamjua, yaani hata ww ukimtaka unaweza mpata. Yeye anamsifia Mbappe ambaye hawezi kuwa naye.
 
Sasa juzi magroup huko wasap naona mwanadada anaulizia picha ya mbape akatumiwa akasema ooh jmn mbape wangu kajitahidi Sana,, nikasema huyu nae fata mkumbo kasikia hata kumjua hamjui
 
Wewee ni next level😂😂😂😂direct from Kanda ya ziwaaa... I bow to youuu😂😂😂
Haswaaaaa sie Tena, watu tumekulia viazi maziwa, nyama, Samaki, maboga, mgagani, majani ya kunde, karangaaa, mihogo ya kutafunaa , maembeee 🤣🤣🤣🤣

Karibu ujioneee mbappe wa kisukuma Yuko aje 🤣🤣
 
Simple tu na wewe amza kumsifia star yoyote wa kike mbele yake
 
Anza kupost picha za Bella bellz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…