Mbappe kanitekea demu wangu

Leo ni birthday ya Kyllian Mbape [emoji4]

Team Mafaransa utawajua tu!
 
Kuna Demu nilikuaga nampenda sana wakati nipo Advance Level, ila yeye akawa chenga sana.

Basi nikaingia FB nikafungua akaunti ya kidemu , nikaaanza kupost picha za Demu fulan mkaliiii kweli .


Baada kama wiki, nikamfata Inbobo yule Demu nlokua namtafuta nikawa ninajifanya.


Weee mshenzi nianchie Bwanangu, wanaume wamekukosa mpaka ujishobokeshe, mwanaume wangu hakupendiii na hawez kua na mwanamke kama weeee, una Kwa mfano ??.

Na mablaa blaaah mengi.


Yule Manzi, akajawa na hasira za mkidhi , basi Akanitafuta Et anasemaje

"Yaan G mwambie Demu wako kua Sasa nitatembea Nawewe, na Leo nakuleteaaa ".


Kama masihara Demu, alikujaga mida ya saa kumi jion, nikala Mzigo 🤣🤣🤣
 
Imesahau..wanapenda mwanaumr mcharuko🤣🤣🤣
 
Weeee Huyo Mbappe na Neymar wallah me nawafata PSG 🤣🤣


Wekeni maskhara pembeni
Wajuba wana mvuto hao

Yan ni vile tu
Hatuna access
Tuacheni tuwapost

Me Mbappe yuko Wallpaper
 
Weeee Huyo Mbappe na Neymar wallah me nawafata PSG 🤣🤣


Wekeni maskhara pembeni
Wajuba wana mvuto hao

Yan ni vile tu
Hatuna access
Tuacheni tuwapost

Me Mbappe yuko Wallpaper
Sasa bahari nzuri Akina Mbappe na Neymar, ndo sisi hapa tulonanyi Hapahapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…