Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
HahahahahahahaaahShulen kwetu wanasema vile vivuli ni wasimamizi wa Necta
Aliyetakiwa kuchinjwa ni Ismail. Achana na wapotoshaji wa maandiko.Mbalamwezi ikiwa kwenye umbo lake kamili huwa kuna vivuli fulani vinaonekana pale,hivi vivuli vinazungumziwa kwa namna mbalimbali kulingana na mawazo na mazingira tofauti,mfano:
Dodoma
Nikiwa mdogo kijijini kwetu kongwa huko,niliambiwa vile vivuli ni mwanaume na mkewe wakikata kuni porini!
Kigoma
Wanadai yule ni mvuvi akihangaika kuvuta nyavu iliyosheheni samaki(migebuka)toka ziwani
Iringa
Wanadai ni baba akiwapa usia wanawe!
Wanasayansi
Wanadai mwezi umetawaliwa na maji kwa sehemu kubwa na vile vivuli ni eneo la nchi kavu...
Lakini....
Vile vivuli ni taswira ya Baba yetu Abraham akijiandaa kumchinja mwanae mpendwa Isaka.
Over.
Kwani biblia na quran ipi ya kwanza kuwepo tuanzie hapoAliyetakiwa kuchinjwa ni Ismail. Achana na wapotoshaji wa maandiko.
Haiwezekani, huyo alikuwa mtoto wa zinaaAliyetakiwa kuchinjwa ni Ismail. Achana na wapotoshaji wa maandiko.
zinaa kivipiHaiwezekani, huyo alikuwa mtoto wa zinaa
kuwa mwanzo au mwisho hakumaanishi ukweliKwani biblia na quran ipi ya kwanza kuwepo tuanzie hapo
Huo ndio ukweli. Nilikuwa sizielewi hadithi zile siku ukipikwa wali!Zile ni hadithi tuu mara nyingi zilitumika wakati wa jioni tunasubiria chakula ili tusisinzie
HahaHuo ndio ukweli. Nilikuwa sizielewi hadithi zile siku ukipikwa wali!
Haaaah. Haaah. Haaah. Hata ile michezo kama Kombolela, mida ya jioni haipati watoto kama tu home kumepikwa wali!Haha
Kumbe nawe ulipitia humo eeh..asante mhenga. Mie siku ya mseto bhana nilikuwa siambulii chochote
Mom akee alikuwa mkali,kumi na mbili uwe ndani.Ko hizo michezo za jioni zilikuwa zanipita haswa!!! Ila taarifa za wali lazima wazipate huko walipoHaaaah. Haaah. Haaah. Hata ile michezo kama Kombolela, mida ya jioni haipati watoto kama tu home kumepikwa wali!
Na ikitokea Mtoto akatumwa wakati wali upo jikoni, lazima Mtoto arudi fasta!Mom akee alikuwa mkali,kumi na mbili uwe ndani.Ko hizo michezo za jioni zilikuwa zanipita haswa!!! Ila taarifa za wali lazima wazipate huko walipo
Zamani rahaNa ikitokea Mtoto akatumwa wakati wali upo jikoni, lazima Mtoto arudi fasta!
Naona umeamua kunianzishia uzi mzee baba!!Mbalamwezi ikiwa kwenye umbo lake kamili huwa kuna vivuli fulani vinaonekana pale,hivi vivuli vinazungumziwa kwa namna mbalimbali kulingana na mawazo na mazingira tofauti,mfano:
Dodoma
Nikiwa mdogo kijijini kwetu kongwa huko,niliambiwa vile vivuli ni mwanaume na mkewe wakikata kuni porini!
Kigoma
Wanadai yule ni mvuvi akihangaika kuvuta nyavu iliyosheheni samaki(migebuka)toka ziwani
Iringa
Wanadai ni baba akiwapa usia wanawe!
Wanasayansi
Wanadai mwezi umetawaliwa na maji kwa sehemu kubwa na vile vivuli ni eneo la nchi kavu...
Lakini....
Vile vivuli ni taswira ya Baba yetu Abraham akijiandaa kumchinja mwanae mpendwa Isaka.
Over.
Ukweli ni huu biblia inasema isaka Ndiye alie takiwa kutolewa kafala ila waarabu wamegeuza na wanamtaja ishimael mtoto wa kijakazi wa kimisri kwasababu tu ni mwarabu hapo ndo quran ilipo potosha Ishmael alikuwa mtoto wa zinaa kwasababu alizaliwa nje ya ndoa ila kwa vile ni mwarabu quran imetumia nguvu kubwa ku mpromote tubishane kwa hojakuwa mwanzo au mwisho hakumaanishi ukweli
Hahaa una historia kubwa sana wewe mkuuNaona umeamua kunianzishia uzi mzee baba!!
Hahah hizi story zilinifikirisha sanaZile ni hadithi tuu mara nyingi zilitumika wakati wa jioni tunasubiria chakula ili tusisinzie