Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mm namchukia.
Wapuuzi jamaa, kuongoza waTZ ni shida, wajinga wengi sana and wanapenda kudanganywa na cheap politics za majukwaani, tangu lini suala la kukatika umeme likawa la Waziri? Waziri siyo mtendaji wa wizara Bali ni msimamia sera