Mimi ninaishi Mbagala Kurasini umeme upo na ulikuwapo, ukinikuta nimelala njaa usitangaze kuwa Mbagala Kurasini kuna njaa.Tangu jana saa 3 usiku, umeme ndo unarudi saizi
Huyu angeungana na sabaya tu
Ukiona wanatengeneza crisis ya umeme, wapo mbioni kuleta makampuni ya kutunyonya damu kwa kisingizio cha kuja kurekebisha hali.......Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mm namchukia.
mkuu lala nao mbele kwa mbeleWamekata tena
Kwani boss ni nani mkuu,nikisema mnaona namwonea?Kwani yeye ndiye injinia au kitengo cha dharura?
Duh! Sa yanatusaidia nini?Msubiri amalize makongamano
Huyu kijana mtu wa dili tu,au wazuza genereta wameshaongea nae?Tangu jana saa 3 usiku, umeme ndo unarudi saizi
Huyu angeungana na sabaya tu
...Sera ya Kutokatika Umeme Ovyo Nani anaisimamia?? Punguzeni Upambe....Wapuuzi jamaa, kuongoza waTZ ni shida, wajinga wengi sana and wanapenda kudanganywa na cheap politics za majukwaani, tangu lini suala la kukatika umeme likawa la Waziri? Waziri siyo mtendaji wa wizara Bali ni msimamia sera
Kuliko kawaidaMakamba ni overrated.