Ubungo hatuna umeme hadi muda huu Waziri Makamba jitafakari sana

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Tulikua tushasahau haya mateso lakini toka huyu awe waziri matatizo yamerudi kama miaka ya 2006 huko

Tuna bahati mbaya sana sisi wakazi wa ubungo sio maji sio umeme hatuna chochote hadi sasa

Mwezi wa pili bila kuona tone la maji bombani huku umeme ulikua hausumbui lakini sahivi matatizo yameanza

Hatuna umeme hadi sasa tupo gizani huyu makamba angejiuzulu tu hakuna alichofanya bora kalemani angebaki tu

Sijui kwanini kalemani alitolewa nchi imerudi kwa wenye nchi yao sawa tumekubali lakini turudishieni umeme huku ubungo
 
Sio kweli kwamba umeme ulikuwa haukatiki kabisa maana sasa hivi umeme ukikatika kidogo tu tayari mtu kakimbilia kufungua uzi na kudai eti tulisahau kabisa umeme kukatika! Kinachowasumbua ni chuki tu hakuna kingine.
Unakoishi hakuna umeme nini?, Kwasasa mambo ya kushinda kutwa nzima bila umeme imeanza kuwa kawaida na hata ukiwepo unakatika katika huo tafikiri wanajifumza kuzima na kuwasha switch za umeme huko tanesco
 
Tulikua tushasahau haya mateso lakini toka huyu awe waziri matatizo yamerudi kama miaka ya 2006 huko

Tuna bahati mbaya sana sisi wakazi wa ubungo sio maji sio umeme hatuna chochote hadi sasa

Mwezi wa pili bila kuona tone la maji bombani huku umeme ulikua hausumbui lakini sahivi matatizo yameanza

Hatuna umeme hadi sasa tupo gizani huyu makamba angejiuzulu tu hakuna alichofanya bora kalemani angebaki tu

Sijui kwanini kalemani alitolewa nchi imerudi kwa wenye nchi yao sawa tumekubali lakini turudishieni umeme huku ubungo
Mbona maji huja yafungulia uzi mkuu? Au kwako maji sio muhimu kama umeme?
 
Tulikua tushasahau haya mateso lakini toka huyu awe waziri matatizo yamerudi kama miaka ya 2006 huko

Tuna bahati mbaya sana sisi wakazi wa ubungo sio maji sio umeme hatuna chochote hadi sasa

Mwezi wa pili bila kuona tone la maji bombani huku umeme ulikua hausumbui lakini sahivi matatizo yameanza

Hatuna umeme hadi sasa tupo gizani huyu makamba angejiuzulu tu hakuna alichofanya bora kalemani angebaki tu

Sijui kwanini kalemani alitolewa nchi imerudi kwa wenye nchi yao sawa tumekubali lakini turudishieni umeme huku ubungo

Mkuu sio Ubungo tu! Huku Mbezi beach mchezo ni huo huo tokea juzi! Yaani ni km wanafanya mazoezi kwa vitendo ya kuzima na kuwasha! Watu wameongea wamebaki wanaangalia tu! Maana ni zaidi ya upuuzi na inatia hasira sana
 
Back
Top Bottom