Mbagala Kuzuiani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbagala Kuzuiani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kilimasera, Mar 10, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  KIJANA aliyejeruhiwa juzi na Simba huko Mbagala Kuzuiani amebainisha kuwa aliponzwa na fulana nyekundu aliyokuwa amevaa siku hiyo ya tukio.

  Akiongea akiwa wodini katika taasisi ya MOI Muhimbili alidai kuwa ameponzwa na fulana nyekundu aliyokuwa amevaa kwa kuwa Simba huyo alikuwa akimkimbiza syeye tu katika kundi lote la watu waliofika kumshuhudia.

  Alidai siku hiyo alikuwa ni miongoni mwa watu waliofika kumshuhudia lakini ghafla aliweza kurukiwa na Simba huyo na alipokuwa akijaribu kujihami na kukimbia katika kudni la watu sima huyo alizidi kumfata yeye.

  Alidai alijihami kwa kukimbilia na kupanda katika mti wa mnazi lakini bado simba huyo alimfata na kumparura kwa kumshika sehemu zake za shingoni na aliweza kuachiwa na simba huyo baada ya kusikia kelele za watu na kukimbia nay eye kukimbizwa hospitali .
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo simba huyo haipendi simba sc(wekundu wa msimbazi?)
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  yaah ameamua kuwachukia may be kutokana na draw ya juzi kwa kandambili
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  Logic ni ndogo sana hapa. Simba alidhani kuwa t shirt yako ina damu tahts all.
   
 5. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo akajua ni nyama
   
 6. TATE

  TATE Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana, animals (cats and dogs) to be specific, ni color blind, they only see very pale shades of color, which means they can't tell the difference between red and green, etc.
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Very true.
  Inasemekana huwa wanaona 'black and white'
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi kuna binadamu wanaokula nyama ya simba?
   
Loading...