Mbadala wa ocampo

Mbadala wa ocampo

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
1,241
Reaction score
253
Fatou bensouda, raia wa gambia. Atamudu kuvaa viatu vya luis ocampo?

Fatou Bensouda.jpg
 
kwani ameshatangazwa maana mi najua mpaka mwakani halafu tupe sifa zake huyo mama maana kwa tz hatumjui
 
Mtu kutoka taifa dhaifu...................ni uchochoro mwingine huu kwa ni wasiwachukue wae wanaharakati wakubwa toka nchi zao?
 
Power of an African woman she will for sure

Huyu mama ataweza kwani kwa muda mrefu ndiye aliyekuwa msaidizi mkuu wa Ocampo hvyo anajua mbinu zote za bosi wake; mafisadi wa Kenya wakae chonjo!
 
kwa Mheshimiwa Jaji Othman Chande hakuipata hiyo nafasi!!??
kwani ameshatangazwa maana mi najua mpaka mwakani halafu tupe sifa zake huyo mama maana kwa tz hatumjui
 
Back
Top Bottom