Mbadala wa blender huu hapa

Mbadala wa blender huu hapa

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,363
Reaction score
16,092
Hii mashine nimeiona huko mitandaoni imenivutia, kwanza unapata juice halisi kabisa, maana haisagi inakamua, na kukusanya makapi sehemu yake.

Kama kuna mtu anatumia kifaa kama hiki anaweza kuja kutuelezea vizuri zaidi.
 

Attachments

  • Screenshot_20250527_132854_Google.jpg
    Screenshot_20250527_132854_Google.jpg
    168.3 KB · Views: 18
Back
Top Bottom