Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,010
- 5,444
Marekani ametimiza malengo yake kwa Ulaya ila amefeli kwa Urusi.
1. Lengo la Marekani lilikuwa kumshusha kiuchumi Ujerumani. Ikumbukwe kuwa Ujerumani ndilo taifa lililokuwa na uchumi imara barani Ulaya. Hivyo ilikuwa inakuja kuwa na nguvu za ushawishi kumzidi ndugu wa damu wa Marekani ambaye ni UK. Kumbuka Ujerumani hakubase sana Marekani hivyo kuamua kumharibia uchumi ili awe tegemezi kwa Marekani. Hapo amefaulu.
2. Marekani alitaka silaha , magari vita na ndege za USSR kwa sasa Urusi ziishe. Ndio maana aliwaomba wenye vifaa hivyo wapeleke Ukrain ili zikaishe awape zake bure. Lengo lake lilikuwa apate kuuza vipuri na siraha zake Ulaya. Hili amefanikisha kwa Ulaya kumaliza made in Russia. Shida ni soko
3. Marekani alitaka Russia ikose soko la zana zake za kijeshi ikiwamo ndege. Hapa amefeli baada ya Russia kuchoma kila kilichotoka NATO. Hapa amepandisha soko la Urusi maana zana zake mrusi zimefanya vizuri vitani. Mataifa mengi sasa yanamwamini mrusi kuliko mmarekani.
Nyumbu wa NATO watakapojitambua watamkimbia mmarekani haraka sana.