Acha hizo bhana uzalendo mbele!*Mbabane swallows mje na wachezaji na viongozi tuu*
Mashabiki mtatukuta huku huku[emoji1787]
Mpigie Simu Rage atakupa jibu la swali lakoShabiki mbumbumbu katisha, ila je aliokaribu nao hawajaona? Kwa hiyo tunahitimisha mashabiki wa hiyo klabu ni mbumbumbu.
Mjisikie mpo nyumbaniView attachment 929924