BadoUmeshampata babu yetu mama au bado?
ofcourse ninao.mbona hujasema kama una watoto na wajukuu ili mtu ajipange
we kwa nini usilete huo mtaji? I mean, what do you bring to the table?sina kazi ya maana, lakini nina afya njema ukileta mtaji....
Kwani akiwa anatafuta mbaba mtu mzima basi na yeye ni mbibi na wajukuu heembona hujasema kama una watoto na wajukuu ili mtu ajipange
Haya maneno ulitakiwa uyaseme miaka 30 nyumaWadau, sijakata tama maana hatukuumbiwa kuishi alone, na sababu ya kukomaa na maisha peke yako nayo haipo. Maisha ya ku-share ni mazuri, na ninajua wapo wenye hitaji kama langu. Kukutana ni popote, Pendelea kuwa mkweli, pendelea kuwa muaminifu. Baraka tele kwako.
Shida ya watu wengi huleta matani dharau kebehi na masimango. Mzee kibibi kibabu so what? Ni haki yake kutimiza haja ya moyo wake.Kwani akiwa anatafuta mbaba mtu mzima basi na yeye ni mbibi na wajukuu hee