MBA evening programme UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MBA evening programme UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Isimilo, Jun 10, 2009.

 1. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wana JF.
  is there any one who knows the month in which MBA Evening programme normally commences at UDSM?
  is there any one with exiperience on fee amount payable minimum amount and general conditions to it.
  what normally happens to Non-compliances? watoto wa wakulima.
   
 2. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
 3. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Isimilo,kwa kuangalia gharama,Open University wanatoa MBA-Eve ambayo gharama zake ni afadhali kdg.Estimated fee ya 3m wakati hii ya UDSM ni above 4m.
  But u can decide for ur credibility,hawa OUT wametangaza nafasi tayari ya hiyo MBA.
   
 4. Mnhenwa Ndege

  Mnhenwa Ndege JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2009
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 243
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Chuo ni Chuo hapa bongo the bottom line employer anaangalia unacho cheti and the ability to deliver. Take it from me.
   
 5. Mairo

  Mairo Member

  #5
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You can get detailed information from udsm website! try to visit UDSM - Home -
   
 6. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  experience is better than written information on the web or office regulations which in most cases are stingent far away than what normally happens on the ground. ndio maana nilitaka nipate exerience rather than ku-rely on formal rules which in most cases are not followed or achievable
   
 7. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  by the way hiyo web ya mlimani iko slow kuliko maelezo unaweza kuchukua nusu saa kufungua ukurasa fulani na ikifika kwenye ku-download ndo kabisa sahau.
   
 8. m

  masaiti Senior Member

  #8
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nilisoma MBA evening mlimani na kumaliza mwaka 2008.
  Application zake ni mwezi March- April. Na program huwa inaanza mwezi July kila mwaka.
  Course yenyewe imegawanyika katika semester 7. sita za course work (Masomo) na moja ni ya dissertation (utafiti). Ada ilikuwa ni shilingi laki tisa (900,000.00) kwa semester. Hivyo kumaliza program nzima unatakiwa kuwa na 6.3M.
  Ila kwa sasa sijui, yawezekana kuna mabadiliko.
  Ukipata nafasi pitia chuoni kwani website ya kitivo cha biashara (kwa sasa ni shule ya biashara) ipo katika maboresho, na vitu vingi havifunguki.

  Kila la kheri katika ulimwengu wa elimu.
   
 9. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee Masaiti wewe umekuwa msaada mkubwa sana kwangu.vipi system ya usomaji hapo upande wa MBA. muelekeo wa elimu za kiboNgo sometimes madessa na maswali ya past papers. vipi unaweza kunipa idea ya usomaji wa kufaulu MBA hasa hapo mlimani. kwa sababu ile system ya usomaji kumuwezehsa mtu kufaulu kwa undergraduate ya pale mlimani naijua ila sijajua timing ya Postigraduate. si unajua ukikosea timing ndo umekwisha. unasoma vitabu wenzioa wanasoma hand-outs na kumeza maswali ya nyuma.
   
 10. m

  masaiti Senior Member

  #10
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inategemea na aina ya somo na mwalimu mwenyewe, kuna waalimu wanavitabu vyao na wanaviuza, na vitu vyote huwa wanavitoa katika vitabu vyao.
  Ila wengi wao wanatoa preffered reference, ambazo yeye anapenda wanafunzi wake wazitumie. Na baadhi yao wanatoa madesa ya wanafunzi kujisomea

  Swala la madesa liko palepale mtu wangu. Vitu vifuatavyo ni muhimu ili toke (huu ni mtizamo wangu)
  1. Hakikisha una atend vipindi
  2. Kuwa na vitabu
  3. Network (Group discussion nzuri)
  4. MADESA, ila usimeze zimazima, kwani jamaa wanabadilisha namba kidogo.

  hakuna kisicho wezekana, ila msuli kwa sana, pia utakutana na test za ghafla, assignment nyingi nk.

  Sijui kama nimekidhi haja yako Isamilo!!!
   
 11. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee kwa upande wako umemaliza. thank to you and JF getting such information for free.
   
 12. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee umemaliza kabisa. thank you and JF team in General and all contributers
   
 13. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2009
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Haya kaka. Mimi nasoma pale tena MBA Evening na ninamalizia mwaka wa kwanza. Leo hii saa 11 jioni tuna mtihani wa Business Research Methodology.

  Evening MBA kila mwaka inaanza katikati ya mwezi July, mfano sisi tulianza 15 July 2008. Ziko Semester/Mihula 7 na imegawanywa mihula 6 kwaajili ya darasani na 1 kwaajili ya Dissertation. Kila mmula una masomo 3 na mwisho wa muhula tunayafanyia mtihani, na baada ya mtihani tunapumzika wiki 1.5-2, mara tu baada ya likizo tunaanza mhula mwingine. Kwa hiyo 6*3=18, course/masomo 18 baada ya muhula wa sita. Muhula wa saba ni research paper.

  Vipindi ni saa 11 jioni hadi saa mbili usiku kwa siku tatu kwa wiki. Muundo kunakua na assignment/presentation 1, term paper 1 na test 1 (Course work ni 50%) na mtihani wa mwisho ni 50%. Pass mark ni 50% or above. Suplimentary ukipata <50% ya jumla ya marks (Course work+Final Exams)

  Unapoingia unatakiwa kufanya usajili na kila muhula mmoja fee ni TShs 900,000.Kwa hiyo unaweza kulipa kwa muhula. Ila wapo wengi walilipa muhula wa kwanza na hawajalipia mihula mingine na bado wanasoma kwa kwenda mbele. Jumla ya fee ili utunukiwe MBA ni 7*900,000=6,300,000.

  Course yote huchukua miaka miwili kuimaliza ila dissertation itategemea ushapu wako, wapo wengine huchukua hata zaidi ya mwaka kuandika research paper.

  Ni kweli vyuo viko vingi ila mtu unaangalia bei, ubora, credibility, value n.k
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  1.Maswali na hizo handouts source ni ipi kama siyo vitabu?
  2. Nadhani ni vizuri zaidi kusoma vitabu kwa maana ukisoma tu handouts utaelimikaje ndugu?
   
 15. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dada nanihii
  unajua bongo bongo tu. tafuta kwanza kufaulu halafu uangalie na kuelimika.ukiegemea kwenye kuelimika tuu utakuta kwenye mitihani unafeli and sometime unakamatwa kabisa. we unadhani hapo ufanyeje?
   
 16. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkombozi hapo nimekusoma kabisa. kwenye ada nimepumua kwani watu walinitisha kwani hiyo ada per semester kama ndivyo ilivyo basi iko ndani ya take home yangu per month na angalau nauli inabaki. nashukuru for that.
   
 17. a

  agika JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwwani jamani Open University sio kizuri ? mbona nimesikia kwa watu waliosoma pale kiko bomba tuuuu. kama kuna m tu ana info tofauti please tell me
   
 18. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Agika
  open siku hizi iko bomba tu. Zamani walikuwa wamekaa design ya kuelimisha watu wa hali ya chini kielimu ambao umri umeenda na wanataka kuwasaidia kufikia malengo fulani. yaani elimu yao ilikuwa imelainishwa. halafu ilikuwa katika mfumo wa distant learning. na wasomi walikuwa wachache. mfumo wao ulikuwa kama wa masomo kwa njia ya posta lakini sasa hivi nao wame-change, motivation mojawapo ni kutaka wakae kisomi zaidi ndo maana hata ada zao zimebadilika. na pia shule yao pia ni ngumu kama kwingine kama mlimani na requrements za kujiunga hazina tofaut na insitution kama UDSM.
  ila ukitaka kupata detailed information ambayo hutolewa katika hospitality ya hali ya juu subiri msimu wa sabsaba pale uwanja wa Nyerere wa sabasaba kama uko dar. huwa wapo. utapata infomation nzuri na maelezo ya kina katika hali ya urafiki sana.
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  tunaangali na wapi ulikopatia hiyo elimu yako
   
 20. M

  MAWERE JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni kweli habari zote ziko sahihi ,,mie ndo nimetoka kuchukua form ya kuanza study,baada ya mchakato na kuwa sellected juzi wamerelize majina..ada haijabadilika 6.3m.mba evining.pia tunaanza july 16....
   
Loading...