MBA evening class Arusha

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,277
15,522
Wakuu,

Naomba muongozo kwa anaefahamu chuo gani naweza fanya MBA jioni chenye bei nafuu naomba muongozo. Nimegoogle nimeona Kenyatta University na IAA kama kuna vingine tushauriane. Msitaje ESAMI bei zao balaa.
 
Wakuu naomba muongozo kwa anaefaham chuo gan naweza fanya MBA jioni chenye bei nafuu naomba muongozo. Nimegoogle nimeona Kenyatta University na IAA kama kuna vingine tushauriane. Msitaje ESAMI bei zao balaa
Umeniacha wazi, Makumira, Arusha University, Mount Meru, Mandela n.k
 
Umeniacha wazi, Makumira, Arusha University, Mount Meru, Mandela n.k
Nimegoogle makumira hawana MBA pamoja na mandela unless kwenye website yao hawaja-update. Arusha univ. si ndo wapo kule usa au wana campus town?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom