Sikutaka kumjibu mie kutokana na yeye kudai kua yeye ni njia kuu... Lkn swali lako hili lina maana kwamba yeye si njia kuu wala kua chepuko....!
Sasa na wewe mpenz unashindwa kupima? Watu tumezaa watoto hadi tuna wakwe na tunakaribia kupata wajukuu mtu kukuita mchepuko unatingishika??? Acha hizo baba watoto
Hahahaa huyu mlinzi kiboko....amefunga kamera kila kona
MB dog anapiga tripu za mara kwa mara south africa....
Chezea OSATA weiweee? Ukienda kinyume lazima upotee jamaa wanajua figisu figisu.
Ni kweli kabisa mi niliona nikiuliza nitachekwa
Jana tu nimemwona mitaa yetu. Kawa raia wa kawaida kabisa maana anatembea kama sisi
mkuu halahala tu na hizo tripu zake za SA,usikute ana traffic yale mambo yaleeeeee.asije akakamatwa kama chid benz.siku zote huwa siwaamini watoto waliokulia manzese,magomeni,ilala na kindondoni kwa manyanya.wengi huwa ni wauza unga.