Mb Dog umepotelea wapi ?

Hajui ata kuiba huyo si unaona anavyokuambia jiangalie....!

Bby Unajua nimekumiss sn weye..?

lakn Ntuzu unajua kuwa mm ndio njia kuu ya Khantwe?
Anakufurahisha tu huyo m tayar nilisha hifadhiwa kwenye kiota cha zuria jeusi
 
Last edited by a moderator:
Hajui ata kuiba huyo si unaona anavyokuambia jiangalie....!

Bby Unajua nimekumiss sn weye..?

Leo weeken swty....hakuna sababu ya kuongea maneno matupu...
 
lakn Ntuzu unajua kuwa mm ndio njia kuu ya Khantwe?
Anakufurahisha tu huyo m tayar nilisha hifadhiwa kwenye kiota cha zuria jeusi



Kwahiyo mie ndio mchepuko? Aiseee mbona inasound poa sn hiyo...?!?!
 
Last edited by a moderator:
Dhalau ya kwanza waliyo ianza ni pale walipo ita mziki GAME sijui akili ya wapi!!!
 
Unamaanishaje switheart...inasound poa wewe kuwa mchepuko???


Sikutaka kumjibu mie kutokana na yeye kudai kua yeye ni njia kuu... Lkn swali lako hili lina maana kwamba yeye si njia kuu wala kua chepuko....!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…