🤣🤣🤣 Umenikumbusha kuna vita kali ilitoka humu kuna injinia mmoja alikua anatambwe sana na vyeti vya kutisha sana aliweka hapa ni 1.7 na 1.3 mpk GPA 4.8 Lakini alishikishwa adabu na Msanii mmoja jiniaz anaitwa Humble Africa. HKL walikua wanachekea ndani ya shuka,🤣🤣🤣 na kumchangia Likes tu mkuu Humble.majibu wanayotoa wadau yamekaa kI HKL
Huyo injinia naye kanjanja tu HKL anakushikishaje adabu?🤣🤣🤣 Umenikumbusha kuna vita kali ilitoka humu kuna injinia mmoja alikua anatambwe sana na vyeti vya kutisha sana ni 1.7 na 1.3 mpk GPA 4.8 Lakini alishikishwa adabu na Msanii mmoja jiniaz anaitwa Humble Africa. HKL walikua wanachekea ndani ya shuka,🤣🤣🤣 na kumchangia Likes tu mkuu Humble.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yule injinia akili za darasani alibarikiwa sana nakwambia sana . lkn yule msanii alithibitisha elimu yetu sio kitu kabisa ule uzi injinia matusi yakaanza kumtoka 🤣🤣🤣Huyo injinia naye kanjanja tu HKL anakushikishaje adabu?
Kabisa...Na ki KLFmajibu wanayotoa wadau yamekaa kI HKL
Injinia kishoka anachafua fani 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yule injinia akili za darasani alibarikiwa sana nakwambia sana . lkn yule msanii alithibitisha elimu yetu sio kitu kabisa ule uzi injinia matusi yakaanza kumtoka 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 japo sikujui ila kwa majibu yako na sifa zako za mwanzo hujamfikia yule injinia hata robo kwa mavyeti yake🤣🤣🤣 mnakuaga na sifa hivi hiv🤣🤣🤣🤣🤣🤣Injinia kishoka anachafua fani 😂😂😂😂
😂😂😂😂 mimi nimeiva level za kimataifa usinifananishe na kishoka 😂😂😂🤣🤣🤣 japo sikujui ila kwa majibu yako na sifa zako za mwanzo hujamfikia yule injinia hata robo kwa mavyeti yake🤣🤣🤣 mnakuaga na sifa hivi hiv🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dalili za kukosa hela.Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
chaiKuuliza tu hili swali ni lazima uwe na akili nyingi
Na ni nani alitengeneza hizi KB, MB, GB na TB. Dhumuni lake ilikuwa ni nini?!Je zile Mb au dakika zinazobakia baada ya muda wa bundle kuisha huenda wapi?
mtoa mada hakuuliza internet inatoka wapi au inamilikiwa na nani,yeye ametaka kujua MB Zinatengenzwa wapi au chanzo chake nini na pia kataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata MB bila kulipia(nimereplace neno kutengeneza MB kimagendo)Naona swali halijajibiwa.
Internet inatengenezwa na nani na wapi ?
MB, au GB ni kipimo tu cha internet kama unavyoweza kupima wungi wa nyama ukapata nusu kilo, kilo moja, mbili nk.
Nani anatengeneza Interneti, na anatengenezea wapi, na anatumia malighafi gani ?
Mkuu naomba elezea kwa lugha rahisi wengi tuelewe ISP ni aina gani kampuni gani na capacity seacon ni nini na gharama zake ni shikingi ngapiUnaweza tengeneza ISP company kanunue capacity seacom......anza kuuza bundle zako
Wamarekani wa fukayosi tukajua umetutukana hapa. Kumbe wapi?Lame ass question