Mazungumzo yale yanakwenda vizuri?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,035
144,387
Kwanini kauli kali hizi zinatolewa leo hii?

Kwanini Muhongo leo hii?

Ni hasira tu?

Nini kilicho nyuma ya hasira hii?

Sababu ya Muhongo kufukuzwa inajulikana,leo hii mbona anakuja na sababu nyingine?

Mazungumzo yale si lazima yawe sababu lakini bado naamini kuna jambo/mambo makubwa yanayokwenda kinyume na alivyotarajia maana hizi kauli si za kawaida na ni lazima zina msukumo tu nyuma yake.

Inawezekana pia anatuandaa kisaikolojia kupokea habari za kubadili baraza la mawaziri.
 
Nina wasiwasi sana kama hayo mazungumzo yanaenda vizuri.Kumekuwa na kauli nyingi kutoka kwa hao wadau ambao ni pro-makinikia zinazoleta shaka kweli.

Wengine wanasema , Chochote tutakachopata ni ushindi .
Wengine wanasema , hata tusipate chochote ila tumeonyesha njia.

Haya hapa chini ni maoni ya mdau mmoja, busar, ambaye ni pro-makinikia;

Tanzania kwa mara ya kwanza pamoja na mapungufu yote (kama yapo, maake hakuna jeshi au mkakati usio na mapungufu) imeonesha na imechukua hatua za kulinda rasilimali, tena kwa kutumia njia za kistaarabu kabisa, za kisheria,
Badala ya London, Washington, Vancouver, ni Dar es Salaam, Dar esalaam yalipokuwa makao makuu ya ofc ya ukombozi wa Afrika, leo pamekaa maongezi ya kurasimisha rasilimali zetu,
Tanzania imekwepa njia ya Zimbabwe,
Hongera Tanzania, Hongera Tanzania,
Tupate tusipate, lkn hatua hii ni kubwa, yapaswa kutambuliwa, Roho hii sasa isambae,
 
Tushachenjuliwa makinikia yatapanda ndege kama kawaida soon ..lazima roho imuume mana mtu mzima ukishikwa panapouma lazima upige ukelele
 
Ukiona hivyo kuna kila dalili kuwa Noah "zetu" zimeanza kuota mbawa!

Kwa kuwa Wahenga husema dalili za mvua ni mawingu.........
 
Kitu kingine kinachoshangaza ni kuwa timu yetu ya "ushindi" mbona inafanywa kuwa confidential?a

Mbona Taifa Stars wanapochezaga na timu za nje waTZ huwa tunatangaziwa line up mapema?

Ukiona hivyo kuna kila dalili za kushindwa kuzipata zile trillion "zetu" 428......
 
haaaaaaa nakuambia utawaza Sana makinikia lakini hakuna habari za udaku mpaka official release utapga ramli mpaka uote sugu
 
Wewe chizi ebu acha BHANGI zako......kwa waliomzikiliza MAGUFULI leo kamwe hawezi sapoti bhangi zako hizi......Hivi nyiie mnaoandika mabaya tu juu ya serikali hii nini hasa lewngo lenu...?????.....Natamani nikutukane wewe chizi,,,,,bhas tu....
Hama nchi kama unakereka
 
Baadhi ya mawaziri wake ni wapumbavu.wako wangapi?ila kumbuka mourinho alivyo mkaripia yule daktari eve.
NINI KILITUKUTA CHELSEA.
USIPOIHESHIMU TEAM YAKO NA KUIAMINI.
JIANDAE KUSHINDWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe chizi ebu acha BHANGI zako......kwa waliomzikiliza MAGUFULI leo kamwe hawezi sapoti bhangi zako hizi......Hivi nyiie mnaoandika mabaya tu juu ya serikali hii nini hasa lewngo lenu...?????.....Natamani nikutukane wewe chizi,,,,,bhas tu....
Hama nchi kama unakereka
Mapovu ya nini , tupeni taarifa za kushindwa kwenu , mnaficha nini ?
 
Back
Top Bottom