Mazungumzo Mabaya

Mazungumzo Mabaya

Joined
Jan 13, 2018
Posts
38
Reaction score
60
Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema.

1 Wakorintho 15:33

Waswahili wanasema ukitaka kubadili Tabia badili mtazamo wako

Chochote unachokisoma kuna sehemu kubwa Sana ya kubadili fikra zako

Ndio Maana Yesu aliweka msisitizo juu ya kile unachopokea maana kwa njia ya mafundisho unapata chakula na chakula cha Tabia ni mafundisho ndio Maana alisema Linda unachokula

Ndipo walipofahamu ya kuwa hakuwaambia kujilinda na chachu ya mkate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.Mt 16:12

Duniani kuna mafundisho mengi Sana na Mafundisho kazi yake ni jeng Imani kwa Mtu hauwezi kuona matoekeo yake Leo ila kadiri unapojifunza Ayo mafundisho unajikuta Imani yako inajengeka na hatimaye unakuwa na Imani ambayo hauwezi kuiacha yaani mwili wako unapelekwa Tu na hiyo Imani ukitaka kuhacha hauwezi kwa sababu ndani yako umejenga Imani

Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Warumi 10:17

Kuna Imani ndani ya mafundisho ndio Maana hata wachawi wanavitabu vyao

1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
1 Timotheo 4:1

Na watu wengi katika wale waliotumia mambo ya uganga wakakusanya vitabu vyao, wakavichoma moto mbele ya watu wote; wakafanya hesabu ya thamani yake, wakaona ya kwamba yapata fedha hamsini elfu.

Matendo ya Mitume 19:19

Chunga Sana unachosoma utaharibu moyo wako na Tabia zako

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.

Mithali 4:23
 
DSC06496.JPG
asante mtumishi karibu supu
 
Naona dalali wa ujinga yupo kazini.
 
Back
Top Bottom