mazoezi (Reherasal) ya UrAISI baada ya 2015

mazoezi (Reherasal) ya UrAISI baada ya 2015

chezea mjomba wewe
mwisho wa siku yatakuwa na mwisho wake haya kwani ukweli ni kama maji huwezi kuyazuia na ukijaribu kuyazuia yatatafuta njia ya kupita na yakipata njia huzoa kila kilichokuwemo na hata visivyohusika.asubuhi njema mkuu.
 
njema na wewe naona umeamka vizuri kibusara zaidi

sio kwamba hatuna busara ila misukosuko ya maisha hutufanya tuwehuke na hasa ikiwa tumezungukwa na vilaza wanaojifanya wana akili kuliko hata muumba.
 
Wema Sepetu..............Sepetu ni kibongo, Abraham ni Ubini
 
mkuu, sepetu anaingiaje hapo?

W. Sepetu anaingia kwa staili hii!

Wema akimkabidhi sh. 500,000 mmoja wa wananchi wa Kwadelo walioathirika na mafuriko. Kwa mujibu wa Diwani Kariati (wapili kushoto), fedha hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe ambaye ni mzee wa heshima wa kata hiyo.....as posted by Amavumbi.
​
 
W. Sepetu anaingia kwa staili hii!

Wema akimkabidhi sh. 500,000 mmoja wa wananchi wa Kwadelo walioathirika na mafuriko. Kwa mujibu wa Diwani Kariati (wapili kushoto), fedha hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Meembe ambaye ni mzee wa heshima wa kata hiyo.
​
Sasa Wema ni kama nani hadi Membe amtume apeleke pesa. Membe asije-akawa kama JK.
 
Back
Top Bottom