
Anaweza akafa kwa kisukari siku ya kura za maoni atakapokosekana hata kwenye nne bora.
nadhani kuna kifungo cha koti kimekatika
kwa hiyo huyu wa kulia ndio kafaulu mtihani? Nampa 85% tu kwani naona suruali yake kwa nyuma haijakaa sawa.Ona mfanano!View attachment 78957
kwa hiyo huyu wa kulia ndio kafaulu mtihani? Nampa 85% tu kwani naona suruali yake kwa nyuma haijakaa sawa.