Hata najua basi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 2,224
- 4,562
Mimi sifungi PM acha waje siku nikilewa tu nafungua uzi murua👌🔥Wala hapigwi ban mtu hapa! Kwanini mtu akutukane? Ndiomaana kuepusha usumbufu mwingi nmefunga zangu pm mm
Mimi sifungi PM acha waje siku nikilewa tu nafungua uzi murua👌🔥Wala hapigwi ban mtu hapa! Kwanini mtu akutukane? Ndiomaana kuepusha usumbufu mwingi nmefunga zangu pm mm
Nani tena anataka kukuua jamani mbona mambo ni mengi muda mchache😅Vita gani kashinda huyo mume 😂 bhna na move on sitaki tena
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Naaga mashindano baba 🙌
Usikute wewe ndio sababu
Natishiwa ku dedishwa huko🏃♂️🏃♂️🏃♂️🍺
Tena uaanike hao wapuuzi wote tuwajue👌🏽 ukute soko lao limekuwa gumu basi wanatapatapa🤣 kuna mpaka wa kiume wanahaha ujue😆Mimi sifungi PM acha waje siku nikilewa tu nafungua uzi murua👌🔥
Hatari sana 🙌Nani tena anataka kukuua jamani mbona mambo ni mengi muda mchache😅
Poleni sana Mungu anarudisha baraka zake😅Mom weeee 🙌🙌🙌
Soko gumu machinga tumetimuliwa kariakoo😂
Kazini ni mahali pakuwa napo makini sana mazoea hayaruhusiwiHabari ndo hiyoo
Ili heshima na thamani yako idumu, epuka mazoea ya kupitiliza na watu
Kama kazini iwe mazoea ya kazi tuu nje ya hapo no story
Mazoea chanzo cha dharau
Mazoea sio kwamba kukwepa kuchanganyikana... Nadhani ni yale mazoea ambayo mtu anavuka mipaka kiasi kwamba anaingilia faragha yako...Kwenye maisha usiwe unatabirika ndio inapendeza...
Kwenye jamii huwezi kukataa mazoea kabisa, yaani usichangamane na jamii iliyokuzunguka ni ngumu.
Ila usitabirike na kuwachekea chekea hovyo..
Ili nifanikiwe nahitaji marafiki,ili nifanikiwe zaidi nahitaji maaduiNapenda ninavyochukiwa maana nafurah sana,ila kupendana n ushenzi.chuki ziendelee ndio mpango mzim,
Ni sehemu sensitive sana . Ukijichanganya ukafunguka mambo yako binafsi.. umekwishaKazini ni mahali pakuwa napo makini sana mazoea hayaruhusiwi
Wale ni co-workers tu kilichowakutanisha ni kazi sio marafiki. Hata mademu wa kazini sio wa kutongoza wala kulomba.Ni sehemu sensitive sana . Ukijichanganya ukafunguka mambo yako binafsi.. umekwisha
Duh kuna mtu anakutishia maisha ?Vita gani kashinda huyo mume 😂 bhna na move on sitaki tena
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Naaga mashindano baba 🙌
Usikute wewe ndio sababu
Natishiwa ku dedishwa huko🏃♂️🏃♂️🏃♂️🍺
Nakubaliana nawewe 📌📌📍Wale ni co-workers tu kilichowakutanisha ni kazi sio marafiki. Hata mademu wa kazini sio wa kutongoza wala kulomba.
Fanya kazi rudi kwako epuka vikundi vya kukaa pamoja wakati wa mapumziko au mnapotoka.
Mambo ya kikazi tu ndiyo yawakutanishe nje ya hapo kimbia baada ya kipenga cha kufunga ofisi