Mazoea yanaleta dharau

Mazoea yanaleta dharau

Kumbe? Mi nimeona ikiwa hivyo😅
Kitambo mkwe ,kipindi hicho familia ikijua umejiunga huku wanahisi wewe ni mpinga serikali na wakati huo wazazi wenyewe wapo kwenye serikali hiyo hiyo ilikuwa tafrani sana kueleweka.

Nashukuru nimerudi salama mbeya mjini na mali yangu ninayo kabisa mkwe ,kazi sasa kwa Hata najua basi
 
Ningekua nime kukabidhi moyo basi ningesema unacheza na moyo wangu ,ila hivi unacheza na hisia zangu Wallah
Mom Seran 😭😭
 
Kitambo mkwe ,kipindi hicho familia ikijua umejiunga huku wanahisi wewe ni mpinga serikali na wakati huo wazazi wenyewe wapo kwenye serikali hiyo hiyo ilikuwa tafrani sana kueleweka.
Hahhaa hawajui wengine tuna stress zetu za maisha tu! Tumekuja kuzipunguza huku😅
Nashukuru nimerudi salama mbeya mjini na mali yangu ninayo kabisa mkwe ,kazi sasa kwa Hata najua basi
Ulikuwa wapi mkwe? Mmebebana bila kunitaarifu😆
 
Hata bar? Mana mm nakunywa dukani kwa mangi Kila siku ni karibu na home ila Sasa shida ni omba omba
Hapo kaka jifunze aina za mood ,siku nyingine nenda pale ukiwa na stori na wana na siku nyingine kuwa mkali hata mtu akikuangalia tu mfokee mpaka wakuogope hapo utakuwa umeuwa dharau automatically
 
Hii tabia ninayo, yaani sizoelekagi kwa haraka maana sieleweki kwakweli😅 unaweza ukaja unajichekesha nikakukataa ile ile😅
 
Hapana mkwe mimi nilikuwa tunduma si umeyasikia ya huko sasa furaha yangu nikurudi na mali yake ila mwenzangu hataki kunipongeza kwa ushindi huo maana wengi zimepotea kabisa
Kwakweli binti anatakiwa ajifunze uvumilivu na kumpongeza mume pale anapoishinda vita kubwa kama hii, kwani hatuoni wazazi wake tunazeeshana huku!😃
 
Back
Top Bottom