mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,597
- 18,489
Hamna kitu kibaya kama kujipendekeza... Of course kwa unayejipendekeza kwake lazima akudharau hata kama unafaidika na kujipendekeza ... Na kikawaida kujipendekeza sana Kuna ambatana na Unafiki automatically..... Angalia mtu anyejipendekeza sana tabia zake..... Utabaini ka unafiki kalikoota mizizi Kako ndani yake..😕