Nipe mmoja kakaMifano ni mingi sana
Sasa hizi ndiyo nondo nilitaka unipe kwa maelezo mapana sana kaka ili nipone unaweza kuwa unacheka na vijamaa kumbe vinakudharau aiseeKuwa unaonekan kila siku sehm moja
Hakika ... LAzima Kuna mstari wa mazoea inabidi uuchore kama barrier kati yako na wao .📌📌📍Usije ukaruhusu hata siku moja watu wakuzoee kupita kiasi,
Acha wakuone unalinga,unavimba na unajisikia pia, kwa sababu watu wakikuzoea sana mazoea huwa yanaleta dharau.
Hakika ... LAzima Kuna mstari wa mazoea inabidi uuchore kama barrier kati yako na wao .Usije ukaruhusu hata siku moja watu wakuzoee kupita kiasi,
Acha wakuone unalinga,unavimba na unajisikia pia, kwa sababu watu wakikuzoea sana mazoea huwa yanaleta dharau.
Wewe lijamaa upo ? Kitambo sana aisee ,huko ulipo mkioa sehemu moja uwa mnaitanaje kaka ?Sema nini ujue.....
Ukiwa kijana, alafu ukawa mvivu..... wewe ni hasara kwa taifa aiseee..... lazima mafuta yatapanda bei zaidi....teh🤣
Kweli mazoea yasizidi sanaBora watu walalamike unajitenga, unaringa n.k kuliko kulalamikiwa unajipendekeza, ni tegemezi n.k!!
Lawama kundi laa kwanza huja na heshima ndani yake na always huwa n ya watu kukuhitaji.... ila hii ya pili huwa n dharau na fedheha!!
kwahyo nakuunga mkono kabisa: kuhitaji attention za kijinga ndo chanzo cha kuporomosha brand
Nipo nimejaa tele mkuu...🤣Wewe lijamaa upo ? Kitambo sana aisee ,huko ulipo mkioa sehemu moja uwa mnaitanaje kaka ?
Nafurahi kusikia hivyo mkuu wangu 🙏Nipo nimejaa tele mkuu...🤣