matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,491
HahahahahaNikiwa uchi hata nikiwa mwenyewe ndani napoteza confidence, Unalala uchi unakuja kushtuka umepalalazi mwili wote ni shingo na kichwa tu vinafanya kazi sasa kuita msaada unaweza ila tatizo wakiingia wanakukutaje na ubaya hujanyoa muda sana
Sawa nduguPopobawa anawafuata wanayempenda na kumtajataja.
Kama unampenda Mungu, malaika watakuwa wanakuhakikishia ulinzi ukiwa umejilalia uchi mwili unapumua vzr na akili inafanya detoxification kwa ajili ya kupambana na kesho.
Ukilala bila ya nguo aka ukilalaa uchi unamkaribisha Jini mahaba akuvamie ukiwa ni mwanamume unalala pasipo na nguo jini mahaba wa kike ndio atakuwa mpenzi wako.Msimu wa Joto huu hapa ndio zile nyakati unatoka kuoga baada ya maji yatiririke jasho ndio linatoka wazee wa AC wanapeta tu na feni hazipo nyuma kupambana na joto afu kuna wazee wa kulala wakiwa watupu...
š¤£š¤£š¤£š¤£š š š š nishakua pro sasa, kimya kimya dk sifuri tu
uwe chumba cha pili hujui kama nakwea
š š š š š eti wakasikia miguno, wangeangalia chini wangeona vidole vinakunjikaš¤£š¤£š¤£š¤£
Unanikumbusha mshkaji wangu mmoja wa arusha, mdau sana wa hizo mambo, wakati tuko chuo Kuna siku aliniadisia eti kule mtaani kwao kuna siku walikuwa wanapiga...
Ha ha ha ha ha......................!Kuna jamaa alikuwa na mchezo wa kulala uchi ghafla palitokea moto kwake. Katika purukushani za kujiokoa alijikita yupo nje ya nyumba korodani zinatingishika.
We kweli mbahilišššnikipiga bila mafuta, au bila picha au video , nachelewa sana
maana inabidi nitengeneze film yangu kichwani na ni concentrate vizuri kuishona, ukinisemesha tu, naanza upya
na ni mbahili kweli kweli sawa na wapare 1000We kweli mbahili
appointments huwa zinavunjika masaa machache kabla ya gameUnavindwa kuvuta msukuma mweupe hapo geto ukamkazaš¤£
kuna mama mmoja alitoka nje ya nyumba yake uchi hana hata chupi na brazia, yuko kama alivyozaliwa baada ya nyumba yake kuanza kuwaka moto kitandani kwa kusababishwa na kibatari kilichokuwa kikiwaka karibu na net. Ishu ya kulala bila hata chupi hata kama uko peke yako ni kasheshe pindi hatari yoyote ikitokea ndani ya nyumba. Moto na nyoka ni tishio ndani wakifuatiwa na 'popo bawa'. Si vizuri kulala uchi kama hakuna shughuli ya kufanya inayokulazimisha uwe uchi kama tendo la ndoa. Ukimaliza kufanya tendo la ndoa vaa nguo za kulalia ulale salama. Halafu si vizuri kulala uchi huku mkiwa wanaume watupu kuna wengine hupandwa na mzuka wa kumpapasia mwanaume mwenzake mtulinga, kama vipi ni marufuku kulala kitanda kimoja wanaume watupu la sivyo vaaeni majinsi na mkaze mikanda. Ke na ke poaKuna jamaa alikuwa na mchezo wa kulala uchi ghafla palitokea moto kwake. Katika purukushani za kujiokoa alijikuta yupo nje ya nyumba korodani zinaning'inia wazi kabisa.
Daahappointments huwa zinavunjika masaa machache kabla ya game
nikishakwea tu, chap nafuta chats, nazima na simu, nachukua 15k nadaka pisi 3 za mbuzi, na Nectar Ceress ya baridi kabisa
Kuna mwingine alikuwa na mchezo huo huo wa kulala uchi. Kipindi hicho kabla ya mita za luku kulikuwa ni vidude vinabandikwa kwenye mita sina hakika jina lake.kuna mama mmoja alitoka nje ya nyumba yake uchi hana hata chupi na brazia, yuko kama alivyozaliwa baada ya nyumba yake kuanza kuwaka moto kitandani kwa kusababishwa na kibatari kilichokuwa kikiwaka karibu na net. Ishu ya kulala bila hata chupi hata kama uko peke yako ni kasheshe pindi hatari yoyote ikitokea ndani ya nyumba. Moto na nyoka ni tishio ndani wakifuatiwa na 'popo bawa'. Si vizuri kulala uchi kama hakuna shughuli ya kufanya inayokulazimisha uwe uchi kama tendo la ndoa. Ukimaliza kufanya tendo la ndoa vaa nguo za kulalia ulale salama. Halafu si vizuri kulala uchi huku mkiwa wanaume watupu kuna wengine hupandwa na mzuka wa kumpapasia mwanaume mwenzake mtulinga, kama vipi ni marufuku kulala kitanda kimoja wanaume watupu la sivyo vaaeni majinsi na mkaze mikanda. Ke na ke poa
We simu yako itakuwa imejaa madudu, tena ulivokuwa mjanja mjanja utakuwa umeyaficha kitaalamu, wazee wa nukta(.) kabla ya name of file huku file lenyew limefichwa kweny folder ya notifications.appointments huwa zinavunjika masaa machache kabla ya game
nikishakwea tu, chap nafuta chats, nazima na simu, nachukua 15k nadaka pisi 3 za mbuzi, na Nectar Ceress ya baridi kabisa
hahahaha, simu wala haina kitu(kuna video moja tu) hii hasa umeme ukikatika ndiyo naitumiaga, natoka hapo nasweat mbayaWe simu yako itakuwa imejaa madudu, tena ulivokuwa mjanja mjanja utakuwa umeyaficha kitaalamu, wazee wa nukta(.) kabla ya name of file huku file lenyew limefichwa kweny folder ya notifications.
HA HA HA HA HAAAAH
Basi kuanzia Leo nianze kulala uchi jini mahaba akaribie kwangu maana kulala Peke yangu na baridi hii upwiru unakaba kooUkilala bila ya nguo aka ukilalaa uchi unamkaribisha Jini mahaba akuvamie ukiwa ni mwanamume unalala pasipo na nguo jini mahaba wa kike ndio atakuw ampenzi wako.Na ukiwa ni mwanamke unalaal pasipo na nguo jini Mahaba wa kiume ndio atakuwa mume wako kazi kwenu munaopenda kulala pasipo an nguo.
Tartibuš¤£Tandu, nge, nyoka na wadudu wengi tu wanapenda mashimo.
Mm siwez eka kweny PC aiseeš¤£š¤£š¤£hahahaha, siku wala haina kitu(kuna video moja tu) hii hasa umeme ukikatika ndiyo naitumiaga, natoka hapo nasweat mbaya
PC ndiyo kuna mautam ya kufa mtu
Ni ajali kama ajali zingine tu,Kuna jamaa alikuwa na mchezo wa kulala uchi ghafla palitokea moto kwake. Katika purukushani za kujiokoa alijikuta yupo nje ya nyumba korodani zinaning'inia wazi kabisa.
Mashimo hayo yapi, mbona pua na masikio hufuniki ukilalaTandu, nge, nyoka na wadudu wengi tu wanapenda mashimo.