'Mazoea' kwa wanandoa ni chanzo cha ndoa kuingia doa?

'Mazoea' kwa wanandoa ni chanzo cha ndoa kuingia doa?

Jukumu la kuhakikisha mume hakinai ni ubunifu wa mwanamke, mke akimuonyesha mume wake ubunifu na mume atainyesha utundu kwa mke wake wake,
Pia mke unapaswa kujipenda na kupendeza siyo kwakuwa umeshaolewa ndiyo ujiachie utoke mpaka michikizi na usafi duni, mume anatoka nje.

Ndoa ni ya wawili hata wanawake wanachoka mwanaume ambaye sio mbunifu. Unavyochoka wewe na mwenza wako ana choka hivyo hivyo unless kama umeoa sokwe na si binadamu
 
Habari wakuu,

Nimekuwa msomaji wa uzi nyingi sana humu JamiiForums hasa MMU.

Twende kwenye hoja;

Nimegundua kuwa ktk ndoa kumekuwa na kitu 'mazoea' yani mfano ni tofauti kabisa na kipindi cha uchumba.

Kipindi cha uchumba mnakuwa mbali hivyo hupelekea kukumbukana.

Mnapokuwa ktk ndoa mnakuwa karibu mara nyingi na hivyo kufanya umjue vyema mume au mke wako na kuzoea kila kitu kwake.

Wakati mwingine wanandoa wanakuwa sio wapenzi tena na kugeuka kuwa kaka na dada.

Hii husababisha mwanaume kutafuta mchepuko huko nje na kuanzisha mahusiano..na huko anafurahia maana hajauzoea mchepuko.

Nawasilisha hoja..

Karibuni kwa mjadala..

... cc bill nenga .. billnas .. [HASHTAG]#Hatutaki[/HASHTAG] mazoea mazoea kuzoeana#
 
It takes two to tango walisema wenye lugha yao. Moja ya sababu ni kujisahau kwa wanandoa katika majukumu. Pilot visirani. Tatu, shaghala baghala (unkemptness). Nne, kukosa ubunifu (culinary, romance, sex, activities). Tano, isidingo; soap opera zinawaharibu sana wanawake.
 
Back
Top Bottom