Bongo yetu mtu anaanza kutumia computer akiwa anazaidi ya miaka 18 wkt kwa wenzetu india tu nch maskini mtoto akizaliwa anapewa aanze kuchapa code( kuwa programmer) hapa dogo anajifunza kutengeneza computer game.