Maziwa yanatoa maji

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba.
 
Just do investigation before anything like urine pregnancy test by using (UPT STRIP)
 
Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba.

Mimi nilidhani wewe Dr. wa Ukweli una majibu kumbe huna tofauti na Dr. Augustine Lyatonga Mrema.
 
Mimi nilidhani wewe Dr. wa Ukweli una majibu kumbe huna tofauti na Dr. Augustine Lyatonga Mrema.

mkuu kuna Dr wa aina nyingi, swala la mimba siyo coz hajasex muda yapata miezi mitatu sasa na period anapata kama kawaida
 
mkuu kuna Dr wa aina nyingi, swala la mimba siyo coz hajasex muda yapata miezi mitatu sasa na period anapata kama kawaida

Duhhh...kumbe wewe ni dokta kweli...Yaani hizo details zote unazo...

Anza kuandaa mapokeza ya matunda ya kazi yenu (au yao kama wewe ni mshenga)!! Vinginevyo awaone MEWATA wayapapase papase kwanza!
 
Khaaa sasa mbona hiyo kawaida tu katika mabadiliko ya mwanadamu yeye alitaka yatoe unga?
 
mi nilishawah kuona dada mmoja anatatizo kama lako tn lilidumu kwa miaka 2, hakuwa mjamzito ni tatizo 2 na alitudia dawa "bramestom" kwa miez 2 na tatizo likaisha, nakushauri umwone daktar kwa uchunguzi zaid kabla hujatumia dawa yyt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom