Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,930
- 14,827
client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana
money penny: sa unataka nifanyaje jaman
client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje
money penny: una hela?
client wa instagram: ya nini
money penny: ya kusimamisha maziwa?
client wa instagram: mh! Tsh ngapi?
Money penny: bei inatofautiana na nchi, kuna south africa, kenya, dubai, india, we chagua tu umpeleke asimamishe
client wa instagram: ah, me nataka ambae maziwa hayajalala, ina maana huyu katumika sana
money penny: kwakweli sijui kuhusu hilo boss, skuhizi dunia imeenda sana
je ni kweli msichana maziwa yakiwa yamelala sana anakuwa ametumika sana kwa wanaume au? mbona kuna waliosimamisha maziwa wametumika kuliko!
kwani nyie wanaume mko na shida ghan?