Maziwa ya Mbwa tena jamani?

Maziwa ya Mbwa tena jamani?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
994712_1403478356568008_1758070498_n.jpg
 
Nimehisi kichefu chefu ghafla

HARUFU;
Kwa nini? Mbona huyo mtoto wa mbwa hajisikii hivyo ka weye?? Titi ni tamu jamani ingawa la mbwa. Akitokea tu hapo mtoto wa mbwa, lazima ajilambe pua yake kwa furaha akikumbukia utamu aliopata.
Tena huyo mbwa anaonesha huyu jamaa kamzoesha kukamuliwa asubuhiii kwa ajili ya chai ya maziwa. Taam hiyooo we acha tu tena nzito
 
Mkuu unavyzozidi kuweka ubora ujue unazidi kunichefua.

Sasa umeshasema mtoto wa mbwa mkuu, hao damu moja. Kumbuka sisi binadamu hatuli mbwa kawahiyo maziwa yake huwezi kunywa mkuu lakini maziwa ya ng'ombe utakunywa sababu nyama ya ng'ombe kitoweo
 
Usinichukie bureeee. Mbwa ni kitoweo. Tena hapo DRC chauzwa buchani ka nyama nyinginezo tu mbona?? Nilipotaka kuzimia ni pale wallikuwa wameweka na kichwa chake pale kuonesha kuwa usijiulize ni nyama gani. Nenda Lubumbashi uone mwenyewe
 
Siwezi kukuchukia mkuu, itabidi nifanye mpango nikipata wasaa na mimi nikajionee kwa macho yangu, waliosema tembea uone hawajakosea. Kumbe lubumbashi mambo ndivyo yalivyo! Ndio maana mimi huwa napenda sana samaki na mboga za majani hasa ninapokuwa ugenini kuepuka ajali kama hizo.
HARUFU;
Usinichukie bureeee. Mbwa ni kitoweo. Tena hapo DRC chauzwa buchani ka nyama nyinginezo tu mbona?? Nilipotaka kuzimia ni pale wallikuwa wameweka na kichwa chake pale kuonesha kuwa usijiulize ni nyama gani. Nenda Lubumbashi uone mwenyewe

mimba changa ndivyo zilivyo usijali kama hujui kanunue kipima mkojo
Sawa ....

Wewe ndiye uliyenipa ujauzito wala hujakosea
 
Back
Top Bottom