Stress zinaweza kusababisha maziwa yasitoke? Mbna ni kama hakuna uhusiano kabisa?Labda kuna jambo anapitia linamsababishia stress,hii yaweza kuwa sababu mojawapo.
Stress homoni kama Cortisol husababisha mrejesho hasi/negative feedback kwa homoni zinazohusika na kuzalisha maziwa kama Prolactin na hivyo kuathiri kwa kikubwa kiasi cha maziwa yanayozalishwa.Stress zinaweza kusababisha maziwa yasitoke? Mbna ni kama hakuna uhusiano kabisa?
Asante sanaPole mkuu fanya hivi
Kesho asbhi na mapema mpe huyo.mama wa mtoto mchai chai bila sukari
Asnte sanaAle mihogo au viazi vitamu vibichi, ni mazuri mno kwa mama anaye nyonyesha
Hii ni ipi formula milk? SamahaniAmchukulie formula milk
yaani aki vila vikiwa vibichi na vizuri, maziwa lazima apate mengi.Asnte sana