Ushauri sasa sijui utafuatwa?Mfanya biashara km Azam hawezi kufanya upuuzi wa namna hio hata siku moja.
We unafahamu kosa la Kuwauzia wananchi Chakula au kinywaji kilicho nje ya kiwango?
Kwa upuuzi huo anahatarisha Kufungiwa VIWANDA VYAKE VYOTE na Kupigwa Faini ya mamilioni ya pesa.
Maziwa ya Azam yananywewa na Mamilioni ya watanzania.
Sasa itokee hata watu 100 tu wapelekwe hospital kwa matatizo ya hayo maziwa Ujue Azam tumo ktk SHIDA kubwa sana.
Hawa wanaohara ovyo ni Walevi wa Pombe za buku jero!
Ukute maisha yake yote bia anakunywa Christmas mpk Christmas au apewe divai ya bure kanisani.
Matokeo yake tumbo limezoa Gongo. Sasa likikutana na maziwa hali ya kuwa liko Tupu anahara ovyo .
Watakufa Kwa Gongo hawa watu.
Sasa watz kwa wivu wenu mliona ni vyema mwapige marufuku brookside ya wakenya maziwa ya kishua kazi ya Uhuru Kenyatta mwenyewe.Haya basi tulieni sindano iwaingie vizuri,ni mwanzo tu,azam watawanywesha hadi maziwa ya fisi!Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Hapa nina box la Azam juice, sasa sijui niimalizie tu ndo niache kabisa au niachie hapa hapa!..kwa kifup situmii kinywaj chochote cha azam .. maana hata hzo soft drinks zao composition yake haina viwango
Hahaha!Jombaa wewe unasumbuliwa na kilichobaki kwenye boksi?We vipi?Tia kidole kinywani tapika ulichokunywa ndani ya boksi ya juice iliyobaki kisha nenda nyuma ya nyumba chimba shimo tia ndani kisha tupa mchanga juu.Usiseme mawaidha hukupewa!Hapa nina box la Azam juice, sasa sijui niimalizie tu ndo niache kabisa au niachie hapa hapa!
Kiwanda kiko zenji ng'ombe wanatoka wapiYale ni maziwa ya unga, sijui wanayatoa wapi. wajanja sana, wanaongezea maji tu. kwanza ng'ombe wenyewe wako wapi
Ukitaka maziwa nenda kanunue kwa mkamua ng'ombe haya ya madukani sio ya kuyaamini!! wenda ni makemikali yamechanganywa alafu unaambiwa ni maziwaNishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
haya maziwa tunaambiwa ya viwandani sio ya kuyaamini, kama unataka maziwa nunua yaliyokamuliwa na sio ya viwandani.true dat????? wadau ni ASAS NA DAILY FRESH??????????????????????????????????????? Composition zao zikoje
Aah!Wapi jombaa,mi mkenya kamili.We mshabiki wa yanga nini
Haha!Jombaa,umeniua,nimecheka aisee,umenikumbusha mbali sana.Ndoto kama hizo nikiwa mdogo ilikuwa lazima zinipate pale mama alipokuwa anatuekea kikombe cha maziwa yaliyochacha usiku baada ya kula na kushiba kabisa.Duh!Nimezimisi ndoto hizo sanaaa,nilikuwa naamka nimeloa jasho kwa nilivojitahidi kwenye mbio.Mara ni fisi, mara ni simba au viumbe vingine visivoeleweka!Mi kuna siku nilikunywa Fursana nikaota nakimbizwa na fisi
Maziwa ya azam mkuumaziwa ya asas au azam mkuu!
Mkuu kabla hujanywa maziwa Ahakikisha Tumbo halina gongo au pombe za moshi.
Usipofanya hivyo utaendelea Kuhara mpk ukauke maji mwilini.
Maziwa ya Azam yamepitishwa na TBS. Hakuna ujanja ujanja hapo.
Tatizo ni wewe Sio Maziwa.