Kukua kwa matiti kunachangiwa sana na hormones za mwanamke, ambapo level ya hormones hizo inatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, au wanawake wa eneo fulani na eneo jingine, au wanawake wa race moja na nyingine. Matiti hufikia kilele (peak ) chake cha kukua pale mwanamke anapojifungua na kunyonyehsa. Breast tissue huwa inaongezekwa kiasi kikubwa ili kuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kwa mtoto, pia kunakuwa na mwongezeka wa damu kwenye titi ili kupeleka virutubisho vya kutengeneza hayo maziwa, kwa hiyo titi linajaa. Lakini anapoacha kunyonyesha (maziwa yanapoisha) breast tissue inasinyaa na msukumo wa damu unapungua hivyo yanalala mpaka uzao mwingine.
Lakini kama nilivyosema awali, wingi na effect za hormones hizi kwa matiti unatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, kwa hiyo wengine matiti yao yanaathirika sana, na wengine kidogo na wengine hayaathiriki kabisa.
Asante sana doctor ila naomba uniraidie ni namna gani naweza tukayarudisha katika hali ya awali na je kuna dawa au jinsi yeyote inayoweza kutumika ku recover matiti mazuri aliyokuwa nayo.
Kingine ni kuwa kwa nini hili tatizo halionekani nchi zilizoendelea kama U.S.A na kwingineko.JE WANATUMIA NINI?
.......Kama una pesa mfanyie mkeo breast implants baada ya kunyonyesha, Ulaya/USA wanawake walio wengi kwanza hawanyonyeshi watoto.
Na hao wachache wanaonyonyesha wanazaa idadi ya watoto wanaotaka baada ya kumaliza uzazi wanafanya breast implants. Upo hapoooooo!!!!
tHANKSKukua kwa matiti kunachangiwa sana na hormones za mwanamke, ambapo level ya hormones hizo inatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, au wanawake wa eneo fulani na eneo jingine, au wanawake wa race moja na nyingine. Matiti hufikia kilele (peak ) chake cha kukua pale mwanamke anapojifungua na kunyonyehsa. Breast tissue huwa inaongezekwa kiasi kikubwa ili kuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kwa mtoto, pia kunakuwa na mwongezeka wa damu kwenye titi ili kupeleka virutubisho vya kutengeneza hayo maziwa, kwa hiyo titi linajaa. Lakini anapoacha kunyonyesha (maziwa yanapoisha) breast tissue inasinyaa na msukumo wa damu unapungua hivyo yanalala mpaka uzao mwingine.
Lakini kama nilivyosema awali, wingi na effect za hormones hizi kwa matiti unatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, kwa hiyo wengine matiti yao yanaathirika sana, na wengine kidogo na wengine hayaathiriki kabisa.
Asante sana doctor ila naomba uniraidie ni namna gani naweza tukayarudisha katika hali ya awali na je kuna dawa au jinsi yeyote inayoweza kutumika ku recover matiti mazuri aliyokuwa nayo.
Kingine ni kuwa kwa nini hili tatizo halionekani nchi zilizoendelea kama U.S.A na kwingineko.JE WANATUMIA NINI?
Mfumo wa hormone wa mwanamke (na hata wanaume) na pia maumbile huwa yanakuwa tofauti genetically, hivyo ukaona wengine matiti yao yako vile vile, na wengine wakrespond kwa matiti yao kuharibika....Manshivo, I am afraid hakuna dawa ambayo unaweza kumeza ili kurudisha matiti kama yalivyokuwa kabla ya mimba na kunyonyesha.
Unaweza kufanya upasuaji (cosmetic surgery) kuweka implants kama alivyoshauri Pretty...lakini hii procedure inavyofanywa ni kuwa breast tissue yote inatolewa kisha wanaireplace na silicon implants na unachagua mwenyewe how big you want the boobs to be and what shape you like. Kwa kuwa breast tissue yote inakuwa removed, huyo dada hataweza tena kunyonyesha katika maisha yake yote...so kama mnaplan kuzaa tena atleast hold it mpkaka mtakapoamua sasa watoto wanatosha ndio mfanye!