Maziwa fresh ya ng'ombe

Maziwa fresh ya ng'ombe

mpushi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
280
Reaction score
77
Wadau salaam, Mimi ni mjasiriamali natafuta soko la maziwa fresh (ambayo hayajachanganywa na maji kbsa). Nina uwezo wa kusupply lita hadi 100 kwa siku. Napatikana morogoro. Mwenye uhitaji wa maziwa hayo kwa jumla au rejareja tafadhali usisite kunitafuta
IMG_20180225_173217.jpeg
Bro+J+20180227_132047.jpeg
 
Jamani, hivi hii bidhaa ilivyo hadimu kupatikana na ina watumiaji wengi, kila kona, inamaana soko umekosa hadi uje kusema hapa?
 
Wadau salaam, Mimi ni mjasiriamali natafuta soko la maziwa fresh (ambayo hayajachanganywa na maji kbsa). Nina uwezo wa kusupply lita hadi 100 kwa siku. Napatikana morogoro. Mwenye uhitaji wa maziwa hayo kwa jumla au rejareja tafadhali usisite kunitafutaView attachment 712598View attachment 712599
Ndugu,amka,Maziwa ni bidhaa Mali sana.Acha kutegemea kuuza maziwa kwa wanywa Chai peke yao.Tengeneza mtindi uza,tengeneza jibini uza.Anzisha kiwanda chako cha kusindika maziwa.Funguka kichwa Mtanzania
 
Ndugu,amka,Maziwa ni bidhaa Mali sana.Acha kutegemea kuuza maziwa kwa wanywa Chai peke yao.Tengeneza mtindi uza,tengeneza jibini uza.Anzisha kiwanda chako cha kusindika maziwa.Funguka kichwa Mtanzania
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kila la heri ndugu. Ungekuwa nilipo ningekupa connection
 
mkuu pia ungecheki na hizi cafe kubwa kubwa ambazo zipo city senta,,, ungekuwa dar ingekuwa fursa zaidi, lakn pia moro sio mbali lakini kwa kiasi hicho cha lita 100per day ukileta dar itakulipa ukiweka na gharama za usafiri ?
 
Back
Top Bottom