LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,384
- 6,528
hayamixiwa na maji?? mie nikitaka lita 15 wakati unamletea hyo wa lita mia kila siku??Lita kwa 1300
hayamixiwa na maji?? mie nikitaka lita 15 wakati unamletea hyo wa lita mia kila siku??Lita kwa 1300
Kama ni kuleta dar itabidi lita iwe 1500 mkuu ili costs za kusafirisha zisiniumize sana, ila nikipata sehem kuleta sio ttzo kila siku mzgo utafika kwa uhakikamkuu pia ungecheki na hizi cafe kubwa kubwa ambazo zipo city senta,,, ungekuwa dar ingekuwa fursa zaidi, lakn pia moro sio mbali lakini kwa kiasi hicho cha lita 100per day ukileta dar itakulipa ukiweka na gharama za usafiri ?
mungu akusaidie umpate anayetaka lita 100. ila mie nikitaka ng'ombe uniuzie nifanyaje??Hayajamixiwa na maji kabisa mkuu, ni maziwa pure kbsa. Lita 15 zinawezekana kukupatia kbsa kila siku
Nime ku - PM mkuuUnapatikana wap mkuu??
Unataka Ukaoteshe?Hao ndo ng'ombe wenye kutoa maziwa, nisaidie kupata mbegu
Unaweza kusafirisha? Bei ikoje? Naomba tuwasiliane PMWadau salaam, Mimi ni mjasiriamali natafuta soko la maziwa fresh (ambayo hayajachanganywa na maji kbsa). Nina uwezo wa kusupply lita hadi 100 kwa siku. Napatikana morogoro. Mwenye uhitaji wa maziwa hayo kwa jumla au rejareja tafadhali usisite kunitafutaView attachment 712598View attachment 712599
Dada hii fursa hebu tuwasilianeViwanda vya maziwa utachukua hela yako kila baadavya wiki mbili au nne unavyoamua wewe
Nilimaanisha ndama!Unataka Ukaoteshe?