tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
Kadri siku zinavyoenda mambo yanabadilika. Unaweza kuhudhuria misiba mingine badala ya kulia ukajikuta unafyatuka kicheko.
Jamaa mmoja msibani nimemsikia analalamika kwenye simu kwamba kwanini apewe laki 5 kwa msiba wa baba yake mzazi, na atakapokufa yeye mwenyewe kama memba wa kikundi apewe milioni 1?
Sasa alikuwa anawaomba wanakikundi wenzie kwamba yeye wambadilishie iwe kama amekufa yeye kwa sasa. Halafu atakapokufa yeye mwenyewe, nafasi hiyo ifanywe kana kwamba baba yake ndiye aliyekufa.
Misiba kama hii ndo utakuta mtu analia huku anatazama sinia la michango.