Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Hivi ndivyo Dunia inavyotuona Waafrika na kutuchukulia, hapa utaona kuna tofauti kubwa sana, kwenye mazishi ya Myahudi Peres heshima tupu kila mtu yupo kimya ambapo ni ishara kwa kwamba wanatoa heshima kwa marehemu ambaye walimuheshimu wkt kwenye mazishi ya Nelson Mandela ilikuwa ni full party na kujiachia na hata neno selfie lilizaliwa kwenye mazishi ya Nelson Mandela!
Haya ni maoni yangu binafsi!
Shimon Peresi
Raisi Obama (USA) akiongea kwa kutafakari na kwa uchungu, kwenye mazishi ya myahudi Shimon Peresi!
Baadhi ya Viongozi wakuu wa Dunia wakisikiliza kwa utulivu na umakini mkubwa risala iliyokuwa inasomwa kama ishara ya heshima kwa marehemu kwenye mazishi ya Shimoni Peresi!
Nelson Mandela
Wakati kwenye mazishi ya Peresi watu walikuwa na huzuni na umakini kwenye mazishi ya Mandela hali ilikuwa ni tofauti kama ionekanavyo pichani Raisi Obama (USA) akicheka na kuchukuwa selfie, sasa sijui inaashiria nini, lkn ndivyo hali ilivyokuwa!!
Hapa Viongozi mbalimbali wakifurahia kikombe cha kahawa huku wakitabasamu, hakuna kutafakari wala nini, ni full kicheko tu!

vs